Chris Lukosi
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 4,581
- 2,937
Nakumbuka kuna siku hapa UK uliandaliwa mkutano wa watainzania waishio huku na wahutubiaji waliokuwa viongozi wa chama cha watanzania wakati huoUkishajua Kiingereza Unapata Nini? Sasa Wewe unajua Hicho Kiingerereza ila Huna Hadhi Kama Ya Mama Makinda na Utakufa na Umasikini Wako Huo Huo Pamoja na Kiingereza Chako hicho. Halafu Mbona Wanaokijua Huwa Hawashoboki na Wala Huwa Hawapendi Kujionyesha Kama Wanakijua na Wanakiongeza Isipokuwa tu Pale Inapobidi? Ndio Tatizo Ukizaliwa ktk Ukata na Siku Ukizibahatisha tu Nyodo Nyingi Mitaani. Mwacheni Mama wa Watu na Isitoshe Tunamwelewa Mno tu Akiwa Anazungumza ila Huwa Napenda Sana Mfano wa Mama ASHA ROSE MTENGETI MIGIRO Kwa Kupenda Sana Kuzungumza na Kukisifia KISWAHILI chetu Wakati ni Mzungumzaji Mzuri Sana Wa Kiingereza Pale Inapobidi tu ila Hakitukuzi Hicho Kiingereza Chenu. Mmekuwa Wepesi Sana Kuwashambulia Viongozi Kuwa Hawajui Kiingereza Wakati Usishangae hata Wewe Mwenyewe Hujui Kuongea Vizuri Kiingereza na Hata Wazazi Wako au Ukoo Wako Wote Nao Hawajui bali ni Wewe tu Ndiyo Umeona Mwezi na Umetoa Tongotongo. Mnaudhi na Ndiyo Maana Nawapaka na Mkinichukia Shauri Yenu Washamba Wakubwa.
Badala ya kuwa proud na lugha yako ya taifa unauliza kama wengine wanajua kuongea lugha za watu.
Anyway, uliwahi kusikia wazungu wakishindana kuongea kiswahili?
senki yuu veri maachiii...anaza waaniKwani kingereza ni sifa mojawapo ya Mtu kuchaguliwa ubunge? Mbona una akili mgando?
Asnan Murji darasa la 7-he is zero!! Bt good in business making
Sijui kwanini ikija mada ya kidhungu watu wanajifanya wazalendo.....ni uoga wa kujifunza ama vipi?...nawaza tu kwa maandishi...
Kwani kutokujua kiingereza ndio umbulula?We kama unakijua hicho ulichokiandika kwa kiswahili hapo kitafswiri kithungu tuone kama hujaweka present tense na future tense pamoja.Ungenge wito, siku bunge likiamua kutumia ngeli kama lugha ya mijadala basi kuna waheshimiwa watamaliza miaka mitano bila kuchangia. na wengine kuachana na siasa kabisa.
mambo ya kutambiana Elimu mimi nilishakoma kabisa, wewe kama unaona una ka-elimu basi ka chini tulia, maana kuna watu wana vyeti lukuki hadi maPHD ila kichwani ni matikiti maji tena yale ya kimbiji.Waraka wa Zitto na wenzake unasema...''Elimu ya mwenyekiti ni ya magumashi, hana vision na hana uwezo wa kujieleleza'' ....Tundu Lissu.
mimi sijui kithungu, la nakwambia hata matusi yataisha bungeni!! watu watakuwa mabubu kuanzia spika hadi baadhi ya waheshimiwa!! Mfano hebu mwambie Jamaa arudie lile tusi lake la juzi juzi kwa ungenge.Kwani kutokujua kiingereza ndio umbulula?We kama unakijua hicho ulichokiandika kwa kiswahili hapo kitafswiri kithungu tuone kama hujaweka present tense na future tense pamoja.
Wewe komaa na kiingereza ujue mwenzio anaingiza salio na ulinzi wa kutosha.Napata taabu sana kuelewa kiingereza anacho ongea mama Makinda au sijui ni kwa sababu kiko deep sana ama kinasound kibantu zaidi?.....yote tisa kumi ni kwamba sijawahi kuwasikia mh Mkuchika,Asnain Murji, Shibuda Anna Abdala wakiongea kizungu hongereni kwa kukienzi kiswahili.
Itakua ana mix na kibena kiaina..
Na watu wanaongoza kuongea kiingereza kibovu ni vijana Pro Chadema! Yaani wakiongea utadhani ni darasa la pili wa Karume Primary school!