Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,450
- 12,317
Itakua ana mix na kibena kiaina..Wala mama yuko njema kabisa katika lugha jaribu kustudy taratibu tena yeye ujue ni yale matunda ya uhuru enzi za elimu ikiwa bado haijaingiliwa na mamluki,she is very good,sema hicaps hazikosekani lakini yuko sawa
Asnan Murji darasa la 7-he is zero!! Bt good in business making
Ulimsikia wapi anakiongea tofauti na kukisoma?
Badala ya kuwa proud na lugha yako ya taifa unauliza kama wengine wanajua kuongea lugha za watu.
Anyway, uliwahi kusikia wazungu wakishindana kuongea kiswahili?
Thenki yuu vere macheeeeeeeeeeeeeeeeeee
Your suggestion is well incomparable and closes to the irrelevancy. English is in the class of its own, no matter what you think or say, it is a world's communicative icon of all times, you can not compare the two at all.Badala ya kuwa proud na lugha yako ya taifa unauliza kama wengine wanajua kuongea lugha za watu.
Anyway, uliwahi kusikia wazungu wakishindana kuongea kiswahili?
Natamani kumsikia kibajaji akiongea ug'eng'e ila asiuchanganye na matusiKwih kwih kwih
Badala ya kuwa proud na lugha yako ya taifa unauliza kama wengine wanajua kuongea lugha za watu.
Anyway, uliwahi kusikia wazungu wakishindana kuongea kiswahili?
kapeleke rambi rambi za watu.Badala ya kuwa proud na lugha yako ya taifa unauliza kama wengine wanajua kuongea lugha za watu.
Anyway, uliwahi kusikia wazungu wakishindana kuongea kiswahili?