Kiingereza Cha Mama Anna Makinda.....

Chinga One

JF-Expert Member
May 7, 2013
11,433
12,282
Napata taabu sana kuelewa kiingereza anacho ongea mama Makinda au sijui ni kwa sababu kiko deep sana ama kinasound kibantu zaidi?.....yote tisa kumi ni kwamba sijawahi kuwasikia mh Mkuchika,Asnain Murji, Shibuda Anna Abdala wakiongea kizungu hongereni kwa kukienzi kiswahili.
 
Wala mama yuko njema kabisa katika lugha jaribu kustudy taratibu tena yeye ujue ni yale matunda ya uhuru enzi za elimu ikiwa bado haijaingiliwa na mamluki,she is very good,sema hicaps hazikosekani lakini yuko sawa
 
Wala mama yuko njema kabisa katika lugha jaribu kustudy taratibu tena yeye ujue ni yale matunda ya uhuru enzi za elimu ikiwa bado haijaingiliwa na mamluki,she is very good,sema hicaps hazikosekani lakini yuko sawa
Itakua ana mix na kibena kiaina..
 
Asnan Murji darasa la 7-he is zero!! Bt good in business making
 
Badala ya kuwa proud na lugha yako ya taifa unauliza kama wengine wanajua kuongea lugha za watu.

Anyway, uliwahi kusikia wazungu wakishindana kuongea kiswahili?
Your suggestion is well incomparable and closes to the irrelevancy. English is in the class of its own, no matter what you think or say, it is a world's communicative icon of all times, you can not compare the two at all.
 
kwa dunia ya leo ni muhimu viongozi wakafahamu kuongea lugha za kimataifa especially kiingereza .sijui kama wabunge wote wanalifahamu hili.
 

Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom