Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,500
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Kihongosi, amesema, "Vijana wa nchi hii watambue wana wajibu wa kujiunga CCM, pia wana wajibu wa kujua matumaini na matarajio ya maendeleo tuliyofikia leo yametokana na Chama hiki, kwasababu hatujawahi kuongozwa na Chama kingine"