GE2025 Kihongosi: Unapoona wingi wa watu kwenye mikutano na vyama kuvutiwa ni sababu Rais Samia anatimiza wajibu kwa watanzania kupata wanachostahili

GE2025 Kihongosi: Unapoona wingi wa watu kwenye mikutano na vyama kuvutiwa ni sababu Rais Samia anatimiza wajibu kwa watanzania kupata wanachostahili

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
Katibu wa Itikadi, Uenezi, na Mafunzo Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi akizungumza na waaandishi wa habari katika leo Oktoba 5, 2025 katika ukumbi wa White House CCM Makao Makuu Dodoma ameeeleza kuhusu Kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM) zinazoendelea ambapo Mgombea nafasi ya urasi Rais Samia tayari ameshafanya mikutano zaidi ya 77 kwenye Mikoa 21

Kihongosi ameeleza pia kuhusiana na ahadi na sera zilizotolewa na Mgombea urais akibaini kuwa baadhi ya ahadi zimekwisha tekelezwa kwa asilimia 100% ikiwemo Mapinduzi katika Shirika la reli Tanzania(TRC) lina vichwa vya treni 17 na mabehewa 65 na treni ya mizigo imeshawasili, ujenzi wa daraja la JPM Kigongo-Busisi mradi uligharimu zaidi ya Milioni 700

 
Siku sa100 akifanya mkutano wa hadhara popote pale Tz bara bila kualika wasanii wa kuvuta watu kuona show za bure na bila kusomba watu kuleta mkutanoni...ataaibika!.
Hebu athubutu kufanya hivyo japo wilaya moja tuu ajipime aone uhalisia namna anavyokubalika!.
 
Back
Top Bottom