Kihongosi: CCM ni chama pekee kinachohubiri amani

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
"Chama kinachohubiiri amani nyinyi ni mashaidi ni chama cha mapinduzi peke yake, tukija hapa tutasema dumisheni umoja, upendo na mshikamano, tukija hapa tutasema lindeni amani ya nchi yetu, tukija hapa tutasema tusipoteze tunu ya amani yetu, huwezi kusikia tukiongea vinginevyo. Chama hiki haujawai kukisikia kikiwaambia watu fanyeni vurugu, ingieni baraarani"-Amesema Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Kihongosi, akiwahutubia wananchi wa Ikungi mkoani Singida, katika mkutano unaofanyika Kata ya Puma leo Januari 22, 2026


Your browser is not able to display this video.
 
Na ndo chama pekee kinachodhulumu hata haki za kuishi watu, akumbuke na hilo
 
Kinapoka haki na kuhubiri amani.
 
Chama kinachopora haki, na kuhubiri uoga.
 
Kinacho hubiri amani na kuikanyaga haki.
 
Na CHADEMA ni chama pekee kinachohubiri juu ya HAKI..

Yeyote ahubiriye juu ya HAKI huyo automatic huhubiri juu ya AMANI maana AMANI ni tunda litokanalo na uwepo wa HAKI katika jamii...

Popote ambapo hakuna HAKI na badala yake pana DHULUMA na UONEVU na UOVU, na ukandamizaji wa HAKI za watu, basi mahali hapo au ktk jamii hiyo ni LAZIMA ukutane na vurugu, fujo na ghasia za kutosha..

Hii ndiyo situation ya Tanganyika leo chini ya Samia na CCM yake...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…