Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Kihongosi akizungumza na waandishi wa habari leo Oktoba 27, 2025 Mkoani Mwanza ameeleza namna ambavyo Chama cha Mapinduzi (CCM) inaaminika na wananchi kwa kusikiliza na kutekeleza shida na changamoto za wananchi
" Idadi ya watu zaidi ya Milioni 25 kuja direct wanajua kwamba chama hiki kimebeba Matumaini ya nchi yetu" - amesema kihongosi
Soma pia GE2025 - Kihongosi: Rais Samia amefuatiliwa mtandaoni mara Milioni 164. 9, hii inadhihirisha kukubalika kwake kama Mgombea Urais wa CCM