Kihasibu, min-me anautajiri wa 1 Billion+

Kihasibu, min-me anautajiri wa 1 Billion+

Daktari Dr am 4 real PhD hivi daktari min -me alisema atafika mjini lini ?

Nimepata habari nzuri ya kutufanya tuwe na kikao kizuri na yeye ,ila jitahidi uwe umemuaga shemeji kabisa maana kitakuwa kikao haswa
Kapoteza 40m, tangu asubuh sijamuona humu.

Inasemwa ana utajiri UNAO kadiliwa kuwa bilioni moja bank.na Mali mbali mbali zisizo hamishika kaka 😊

Karibu kaka ukija nicheki kaka ntavunja shughuli zoteee tuweze kuonana
 
Dah huwezi amini sikuuona huo uzi mpaka hapa uliposema wewe .

Dah kwanza nampa pole sana aise
Shukrani kaka ,nifikapo nitakucheki ndugu
 
Habari za tajiri muulize Masikini,
Ukibisha pinga kwa hoja.
Naam kihasibu min -me anao utajiri wa angalau 1B.

Unasema Mfilisiti unamaana gani?
Huwezi kupata hasara ya 40M ikiwa huna sustainable income. na hiii ni kwa project moja.

Hasara huendana na kipato. Jiulize wewe hapo ulipo hasara kubwa kuipata ni shngapi?? then vuta picha your financial status.

Mimi hasara moja wapo kuipata nilimpa konda 10k akate nauli yake, then konda akavunga ile nimeshuka ndo baadae nakumbuka sikuchukua pesa yangu😎

Mkuu min -me hongera sana kama unakaribisha business proposal zipo😎

#Kila mtu hudhani atatoboa.
#Kila mtu hudhani atakufa akiwa mzee.

Credit where credit is due.
Naam Mfilisiti.
Una IDs nyingi.
 
Back
Top Bottom