win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 9,619
- 32,905
kumbe nimeandika kwa ukali? haya nimepunguzaPunguza ukali 2q maneno dada kwani we ndo ulikua mfungwa
kumbe nimeandika kwa ukali? haya nimepunguzaPunguza ukali 2q maneno dada kwani we ndo ulikua mfungwa
Utoto unakusumbuaFacebook huwa napakubali kule Kuna great thinker, kuliko huku kelele nyingi njaa tupu, kule mabishano kama haya watu wanapost mpaka hati, yani mtu anakaliwa kooni Hadi anaona kutetea brand anafata hati ya nyumba anapiga picha anapost, yani kuwaaminisha nzengo kuwa ni kweli kajenga baada ya kutukana kuwa hana hela kapanga jikoni Kwa shemeji yake
Hapana bro, tuongee tu ukweli, mambo ya utajiri wa mtu mdomoni tu ni ujinga na ushamba kuamini hayo mana tusha danganywa mkubwa fella ni meneja ghali afrika mashariki unaijua kilicho tokea baada ya kuugia, na marehemu ruge, huwezi aminisha watu Kwa mdomo tu kaka si kweli sitaki kua mnafiki kakaUtoto unakusumbua
Amekupa offa ya bia. Ukaona usiinywe kimya kimya?Habari za tajiri muulize Masikini,
Ukibisha pinga kwa hoja.
Naam kihasibu min -me anao utajiri wa angalau 1B.
Unasema Mfilisiti unamaana gani?
Huwezi kupata hasara ya 40M ikiwa huna sustainable income. na hiii ni kwa project moja.
Hasara huendana na kipato. Jiulize wewe hapo ulipo hasara kubwa kuipata ni shngapi?? then vuta picha your financial status.
Mimi hasara moja wapo kuipata nilimpa konda 10k akate nauli yake, then konda akavunga ile nimeshuka ndo baadae nakumbuka sikuchukua pesa yangu😎
Mkuu min -me hongera sana kama unakaribisha business proposal zipo😎
#Kila mtu hudhani atatoboa.
#Kila mtu hudhani atakufa akiwa mzee.
Credit where credit is due.
Naam Mfilisiti.
Uwaaminishe watu ili iweje ?Hapana bro, tuongee tu ukweli, mambo ya utajiri wa mtu mdomoni tu ni ujinga na ushamba kuamini hayo mana tusha danganywa mkubwa fella ni meneja ghali afrika mashariki unaijua kilicho tokea baada ya kuugia, na marehemu ruge, huwezi aminisha watu Kwa mdomo tu kaka si kweli sitaki kua mnafiki kaka
Sasa hapo ndo nilimwambia mtoa mada yeye, kapitisha Moja Kwa Moja kuwa your billionaire, nikasema hapana evidence? Hana,Uwaaminishe watu ili iweje ?
mkuu harakati za mtu mweusi zipoje😂Min mee naweza sema ana maisha, nendeni kwenye Uzi wa snap it show it, Kuna picha alipost, kuanzia mavazi pia yupo mambele Kwa kweli naweza kubali Yuko njema, sijui kama ni yake au harakati za mtu mweusi.
Kasikilize goma la lady jay dee, yahayamkuu harakati za mtu mweusi zipoje😂
😅Sasa hapo ndo nilimwambia mtoa mada yeye, kapitisha Moja Kwa Moja kuwa your billionaire, nikasema hapana evidence? Hana,
Kaka ilipaswa yeye ndo anajibu kaka sio wewe kaka min mee au ndo wewe mtoa mada kaka?