Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,768
- 49,940
Kigwangala anaweza kuwadanganya watu wasiomjua lakini siyo sisi tuliowahi kufanya naye kazi na tunaomfahamu kiundani.
Niliwahi kuandika hapa hata siku zilizopita kuwa Kigwangala ni mwizi. Aliwahi kuiba hata baruti, sijui alizipeleka wapi. Na hili hawezi kukanusha na wala hajawahi kukanusha.
Kusikia Kigwangala amekwepa kodi sikushangaa kama ambavyo nikisikia kuwa amemwibia mwajiri au mtu mwingine yeyote. Kigwangaa anafaa sana ndani ya CCM maana huko wengi wapo hivyo. Huyu namfahamu na ninajua wazi kabisa kuwa ha hata chembe ya uadilifu, hataiba endapo hana uwezo wa kukiiba lakini siyo kwa sababu ya uadilifu. He is corrupt and a greaf opportunist like most of CCM leaders.

KIngwangwalah waliuza hata mipira ya maziwa ya wanawake waliokatwa maziwa alipo kuwa WAMA kwa salma kikwete usishangae wizi wake