Kigwangallah matatani kwa tuhuma za ufisadi

Kigwangallah matatani kwa tuhuma za ufisadi

hata kama ni la udaku unatakiwa kusema kama ni kweli au uongo. Kwa habari hii je, hakusamehewa kodi? Je hakuingiza bidhaa hizo? Je kampuni si yake? Je, hakuuza hivyo vifaa vilivyo samehewa kodi? Ujue kwa kariba yako hukutakiwa kusema tu ooooh! Tanzania daima ni gazeti la udaku. Jibuni tuhuma hizo


safi sana
 
Subiri Waziri wa Mambo ya Ndani Ndg Nchimbi akusanye ushahidi ili aje kumtetea
 
Huyu jamaa ndio maana siku za karibuni amekuwa mkali sana kwa CHADEMA...nadhani alifahamu kuwa kuna siku ataumbuliwa. Kweli CCM imejaza mashetani na sio binadamu. Go to hell CCM + wanachama wenu.
 
Tanzania Daima ni gazeti la UDAKU...

Hapo ZeMarcopolo ndipo mnapokosea,ukitoa jibu fupi kama hili kwa ishu nzito,autokuja kueleweka kamwe.Kikubwa hapa kigwa ajekutolea ufananuzi kama ni kweli au hapana,sio kusema tanzania daima ni gazeti la udaku.
 
Hawa watu wanaofanya uhunu huu wako wengi sana hapa nchini na wote ni wanachama hai wa ccm,na kwa sasa ukitaka kutakasa fedha haramu wewe nenda ccm tu,kwao utabebwa,utashangiliwa,utasifiwa na pia unapewa na zawadi ya cheo.
 
Hakuna aliyemsafi ktk chama chao! Tena nahisi mwanamke namba 1 wa chama chao anahusika na hii ishu!
 
Hahaha tutajua yeye na lissu mgonjwa nani.
 
haka ka kigwangala kanaanza ufisadi...ndio maana kanataka madaraka kwa nguvu yoyote...maana wanajua wakiwa na madaraka hata kufanya ufisadi ni rahisi kwa kutumia nafas zao...yaani anavyofanya kigwangala ni typical trend wanayopitia hawa wanaojiita vijana wa ccm....wengi wao wanafanya siasa kama njia ya kujitajirisha....huku wakiwahadaa wapiga kura wao kuwa wanawatumikia....Ndio sababu ni kitu cha kawaida sana kumwona huyu dr.uchwara akitetea mambo ya kipuuzi tu bungeni....ilimradi aonekane na watawala....na ikiwezekana siku moja apewe madaraka....inasikitisha sana....Ila wajue watanzania wamechoka siku hizi....hata ukiiba kiasi kidogo cha pesa ukajulikana utatajwa siku hizi....people are tired of these thieves in TZ....haswa hawa wanaopiga kelele za kinafiki kila siku kwamba wanawajali wapiga kura wao....
 
Tanzania Daima ni gazeti la UDAKU...

...kanusha hoja kwa data,vinginevyo tunaona unarusha post ujaze tumbo na wewe ndo mdaku mkubwa, pu..mb..vu ! Unatulazimisha kuandika vitu tusivyopenda ...mnisamehe wadau,huyu jamaa taifa linaibiwa live ye analeta udaku,ndo utii wa kij..i..nga mnaofumdishwa huko lumumba ?
 
Dr. Vitumbua umeingia kwenye 18.

Yani huyu dogo Kigwangallah bungeni alikua anasimama na kushambulia wapinzani bila hoja huku povu likimtoka kama amekunywa mbolea ya chumvi-chumvi yani he purports to be 'mzalendo' kumbe ni mmoja kati ya mafisadi wa ccm tunaowatafuta kwa udi na uvumba.

Najua upo humu JF, nakuhakikishia mzee wa vitumbua hili tunakumaliza nalo kabisa.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Aaaaah Dr HKigwangallah mbona hivyo? Jitokeze utolee maelezo tuhuma hizi mkuu au kisu kimegusa mfupa? Nakumbuka kuna siku ulisema unaweza kufanya mdahalo na mtu yeyote mdahalo wa jambo lolote. Sasa kuna hili lipo hapa mezani litolee tu maelezo usituache tunawayawaya wakati upo jamvini.

Kuna lingine Mwita Maranya anasema eti uliwadhulumu wasukuma wenzako kiasi cha Shs. BILLIONI 100. Hizi zote ni issue ambazo zinahitaji wewe mwanachama mwenzetu wa JF uzitolee maelezo ili nasi tufahamu badala ya kuishia kusikia toka kwa yule ama yule ili hali mdomo wa farasi upo! Hayo tu
 
Last edited by a moderator:
Cheap news...Tanzania Daima la Mbowe na chadema! Hakuna kitu hapo...

Si vyema kudharau kila habari inayotolewa na Tanzania Daima kwa kuwa nyie ni CCM, hata Chadema hampaswi kudharau kila habari inayowahusu eti kwa sabab imetolewa na Uhuru et al, bali kufanyia kazi habari yenyewe.
 
KIngwangwalah waliuza hata mipira ya maziwa ya wanawake waliokatwa maziwa alipo kuwa WAMA kwa salma kikwete usishangae wizi wake
 
Mkuu, upo sawa kabisa kuwa kuna Wa Kaskazini (Wa Sukuma) na Wa Kusini (Wa Dakama).

Ndiyo maana kwenye Data za ukweli, Wasukuma na Wanyamwezi (Wadakama) wote huitwa Wanyamwezi na ndiyo wanaoleta hiyo idadi inayosema Wanyamwezi ndiyo kabila kubwa Tanzania kwa asilimia zaidi ya 14.

Chifu, asante kwa maelezo yako.
Naamini watu wameyaona na kuyasoma.

Kwa hiyo ni sahihi kujitambulisha kama Mnyamwezi wa Sukuma; ama Mnyamwezi wa Dakama.

Wabheja sana.
 
Nyie mnaona jitu linaongea mpaka mapovu yanalitoka mdomoni mnadhani lina uchungu na nchi kumbe linajaribu kutafuta uhalali wa kutuibia na kudhulumu mali zetu. Shame on you Kigwangala!
 
Back
Top Bottom