HKigwangalla
JF-Expert Member
- Feb 6, 2008
- 717
- 971
Kesho asubuhi kuanzia saa 12.30 nitakuwa kwenye Kipindi cha Kumekucha cha ITV nikizungumzia hoja zangu binafsi za mkakati wa kujenga nyumba na kuwauzia wafanyakazi kwa dhamana za michango waliyojiwekea kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii, na ile ya kukuza uchumi na kuongeza ajira kwa vijana wa makundi ya wasomi na wale ambao hawakupata fursa ya elimu.