chikakatata
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 220
- 98
nani amemsikiliza Kigwangala leo bungeni?
Huyu kijana mimi nimekuwa nikimfuatilia na kumuunga mkono sana. nilichokugundua ni kwamba huyu ni miongoni mwa wabunge wachache makini sana hapa Tanzania.
Amefanikiwa kuipatia halmashauri yake Bn 8 za kitanzania za service levy, dai lililodumu kwa zaidi ya miaka 13.
Tumpongezeni mbunge huyu. leo nilipata fursa ya kuongea naye na anaonekana ni mtu makini sana. ana ufahamu mpana sana na ninadhani anafaa kupewa majukumu makubwa zaidi ya uongozi wa nchi yetu