Kigwangalla Kuwezesha Nzega Kuwa ya Kwanza kwa Pato linalotokana na madini

chikakatata

JF-Expert Member
Feb 27, 2012
220
98
nani amemsikiliza Kigwangala leo bungeni?

Huyu kijana mimi nimekuwa nikimfuatilia na kumuunga mkono sana. nilichokugundua ni kwamba huyu ni miongoni mwa wabunge wachache makini sana hapa Tanzania.

Amefanikiwa kuipatia halmashauri yake Bn 8 za kitanzania za service levy, dai lililodumu kwa zaidi ya miaka 13.

Tumpongezeni mbunge huyu. leo nilipata fursa ya kuongea naye na anaonekana ni mtu makini sana. ana ufahamu mpana sana na ninadhani anafaa kupewa majukumu makubwa zaidi ya uongozi wa nchi yetu
 
unaona umelog in kwa username nyingine bwana kigwangalla
mtoa hoja amesema kigwangala apongezwe na kuna wengine tunaona anastahili pongezi sasa wewe unaleta siasa zako hapa. mtu kafanya kazi nzuri basi ni budi apongezwe ili kumtia moyo, kama wewe una yako baki nayo, kama una wivu kufa nao
 
Sasa haya ndo mmbo ya msingi ya kuweka huku kwenye jukwa si ujinga wa urais wa zitto kabwe,membe na lowassa.heko sana kwa uliyeanzisha hii thread.
ni kweli tunaacha kujadili hoja kama hizi tunaenda kujadili propaganda za wapiga kelele bungeni, wenzao akina kigwangala wabunge wapya wa juzi tu hapa wanaanza kuonesha ukali na kelele zao zinazaa matunda ambayo yataleta maendeleo kwa wananchi
 
Bilioni 8 kwa wingi ni dola milioni 6.5, tena kwa miaka 13 sawa na dola laki 5 kwa mwaka, fisadi yoyote anaweza kuhonga ili aachiwe nafasi ya kukamua madini.

Watanzan¡a eeeeeeeeh! Nchi yetu inauzwa!
 
Tunakupongeza Kigwangala kwa mafanikio hayo uliyopata but kwa mtu aliyekusikiliza jana wakati unatoa speech yako pale mjengoni jana basi haitaji hata elimu ya darasa la saba kujua kuwa wewe mwenyewe ndo umeanzisha hii sredi! Hii kanuni ya kujitengenezea sredi humu ndani ya JF inaitwa "Zittoism toward unknown direction".Hivyo bwana kigwangala hii mesodi haitakutoa kisiasa achana nayo! aliijaribu January Makamba imemtoa kidogo lakini hata hivyo aliishtukia mapema ameamua kuiacha !
 
Chikakatata ndiye kigwagallah nimefuatilia sana hii Id nimegundua Hilo Mara nyingi chikakatata anaanzisha mada za kumsifia kigwagallah Kumbe ni yeye mwenyewe
 
Kama sikosei Kigwangala huwa anaanzisha thread kwa jina lake halisi bila kujificha kwenye alias sasa sijui unamaanisha nini? kwamba angeshindwa kuanzisha pia na thread hii ama?
 
anastahili kupongezwa,ila sio peke yake,wapongezwe na watendaji wa wizara waliofanikisha kupatikana hizo pesa,hata kingwangwala jana aliwashukuru walioshiriki kufanikisha!
 
Tunakupongeza Kigwangala kwa mafanikio hayo uliyopata but kwa mtu aliyekusikiliza jana wakati unatoa speech yako pale mjengoni jana basi haitaji hata elimu ya darasa la saba kujua kuwa wewe mwenyewe ndo umeanzisha hii sredi! Hii kanuni ya kujitengenezea sredi humu ndani ya JF inaitwa "Zittoism toward unknown direction".Hivyo bwana kigwangala hii mesodi haitakutoa kisiasa achana nayo! aliijaribu January Makamba imemtoa kidogo lakini hata hivyo aliishtukia mapema ameamua kuiacha !

kwahiyo unaniambia kutumia program ya zittoism haifai.minaona kama kutumia zittoism iko poa
 
Sasa tusuburi jinsi zitakavyopasuliwa hizo Bilioni 8 kwenye hiyo Halmashauri! Hapo mchwa watakuwa tayari wanazimezea mate.
 
Chikakatata ndiye kigwagallah nimefuatilia sana hii Id nimegundua Hilo Mara nyingi chikakatata anaanzisha mada za kumsifia kigwagallah Kumbe ni yeye mwenyewe
Siku zote wewe hunipinga mimi, sasa sijui na wewe nielewe ni nani? Maana kama siku zote Chikakatata huwa ananiffagilia basi ndiye amekuwa mimi sasa sijui na wewe umekuwa nani sasa! Fumbua kichwa chako, fikiria mbali zaidi ya upeo wa pua yako!
 
Kama sikosei Kigwangala huwa anaanzisha thread kwa jina lake halisi bila kujificha kwenye alias sasa sijui unamaanisha nini? kwamba angeshindwa kuanzisha pia na thread hii ama?
waambie kamanda, mimi huwa sijifichi nyuma ya aliases na kuanza ku-post, ninajiamini kiasi cha ku-face critique na hata criticism from peers, I am a scientist cum a politician...and I know my stuff
 
unaona umelog in kwa username nyingine bwana kigwangalla
Mimi nikitaka kujifagilia hujifagilia tu (kwa kuwa I believe if what I have done is great and it deserves appreciations kutoka kwa watu wenye akili, hujikubali mwenyewe, wala sikusubiri wewe). Na ama nikitaka kuanzisha mjadala kuhusu jitihada zangu huwa naanzisha mwenyewe mchana kweupe bila kujificha hata siku moja nyuma ya alias, kama ulivyofanya wewe!
hebu angalia mjadala huu Hatimaye Kampuni ya Resolute Yabanwa Mbavu na Serikali, Sasa Kulipa Mabilioni ya Fedha kwa Nzega! : Dr. Hamisi Kigwangalla's Round Table nimeuanzisha mwenyewe na nimeusambaza mwenyewe, na mara nyingi hujisomea wengine wanasemaje kuhusu kazi na mwenendo wangu na kujifunza ili kuwa bora zaidi...na hata kukosolewa huwa sikasiriki kwa kuwa natambua mimi si mkamilifu na nafahamu ili niwe great nahitaji kuchukua the best of everybody...that is my philosophy and believe me its the secret of my little success! na ndiyo maana hata nimefikia kuwepo hapa nikijadiliwa na kupondwa na watu kama wewe...la sivyo ningekuwa incognito tu, just like you
 
waambie kamanda, mimi huwa sijifichi nyuma ya aliases na kuanza ku-post, ninajiamini kiasi cha ku-face critique na hata criticism from peers, I am a scientist cum a politician...and I know my stuff
hongera lakini Nzega bado inahitaji pesa zaidi ya hivyo vijisenti kidogo.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom