Ticket za bei ya juu ni moja wapo ya sababu inafanya Tanzania expensive
Kwa nini watalii watue Kenya Kwanza ndio wapande Shuttle kuja Tanzania?
Flight tickets to Kenya are Much cheaper
Tumuunge Mkono Rais Magufuli kwa Ununuzi wa Rais, na tumshauri nini cha kufanya kuepuka hasara
Source: Waziri Kigwangalla atetea ununuzi wa ndege
Moja wapo ya Sababu za Ticket za ndege kuwa ghali kuja Tanzania ni hizi hapa chini:
- Landing fee KIA na Dar Airport ni kubwa sana
- Mafuta ya ndege kodi zake kubwa Tanzania
- Upungufu wa ndege za kuja Tanzania, Air Tanzania itasaidia, Rais anajitahidi
Nyongeza: idadi ya watalii Tanzania ni ndogo sana, na ongezeko halilingani na uzuri na Upekee wa vivutio vya Utalii
Wapo baadhi wanashangilia kwa ongezeko dogo hili, Too low
Wake up, kaza buti
Inatakiwa Kila mwaka ongezeko wa watalii iwe Laki tano,
Laki moja tu mnashangilia?
Ni sawa na mtoto wa Mwaka mmoja hajatembea bado, akitembea na umri wa mwana na nusu, eti unashangilia, Uzuzu huo.