Iko Siku Serikali itaondoa VAT 18 kwenye Park fee
Serikali inatoza VAT 18% Park fee
idadi ya watalii ni ndogo sana aisee..1.3 Million
Kwa vivutio vyote na uzuri wake kama Serengeti, Ngorongoro, Kilimanjaro, Mafia island, Zanzibar....Only 1.3 million tourists? Tunacheza kweli mchexo wa kitoto. Eti ongezeko la 100,000 kwa mwaka....
Zanzibar yenyewe tu inatakiwa kuwa na watalii 200,000
Imagine Mauritious, Seycheles etc wanazidi Tanzania.
Ondoa Concession Fee
Sasa hivi mpaka Mtanzania analipa Concession fee ya 59 $