technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,724
- 58,943
Kwan sportpesa Simba inaingiza kiasi gani ili tujue matangazo ya sportpesa na ya Mo yapi yanatija kwa SimbaSometimes wabongo sisi ni wapumbavu sana kwenye kuhoji maslahi.
Kigwangala ana hoja za msingi sana Mo anaishije na timu anayoimiliki kwa 49% bila kulipa cost za hisa?....
Sometimes wabongo sisi ni wapumbavu sana kwenye kuhoji maslahi.
Kigwangalla ana hoja za msingi sana, Mo anaishije na timu anayoimiliki kwa 49% bila kulipa cost za hisa?
Yaani bilion 20 hajalipa hata mia halafu mnasema aachwe tu atumie club kama anavyotaka.
Siku akiondoka timu ianze kutembeza bakuli?
Uwanja wa mazoezi kajenga, je unaitwa Simba kwanini uwe na jina lake na sio la club.
Washabiki wa Simba acheni kuwa wapumbavu timu inatumiwa kisiasa, timu inatangaza biashara za mtu asiye na hisa kihalali?
Simba mjitafakari, Kigwangalla anazo hoja za msingi.
Sport pesa bilioni 2 timu ikichukua ubingwa milioni 100Kwan sportpesa Simba inaingiza kiasi gani ili tujue matangazo ya sportpesa na ya Mo yapi yanatija kwa Simba
Hivi Mo alikuwa uwanjani leo kweli
kisahajakuepo
Bodaboda alipata vle?Sometimes wabongo sisi ni wapumbavu sana kwenye kuhoji maslahi.
Kigwangalla ana hoja za msingi sana, Mo anaishije na timu anayoimiliki kwa 49% bila kulipa cost za hisa?
Yaani bilion 20 hajalipa hata mia halafu mnasema aachwe tu atumie club kama anavyotaka.
Siku akiondoka timu ianze kutembeza bakuli?
Uwanja wa mazoezi kajenga, je unaitwa Simba kwanini uwe na jina lake na sio la club.
Washabiki wa Simba acheni kuwa wapumbavu timu inatumiwa kisiasa, timu inatangaza biashara za mtu asiye na hisa kihalali?
Simba mjitafakari, Kigwangalla anazo hoja za msingi.
Kilomon/zle dawa za mapunye?Kwa hili namuunga mkono Hamis
Dah soma tena ulichoandika inawezekana umekurupukaMwamedi hawezi toa majibu, ni mswahili yule, pesa hana .
Alishamiliki timu 2 za soka akashindwa zikashuka daraja naona amekuja kuishusha timu yetu daraja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata ka biashara ka kuuza karanga hauna. Nani atakuelewaKweli akili ni mali inakuaje Mo aseme anatumia B3 kwa mwaka kuihudumia timu na mashabiki wanashangilia tu bila hata kuuliza je wadhamini wa simba wanatoa kiasi je viingilio kwa mwaka ni kiasi chukua mapato ya simba toa matumizi tuone deficit yake ni ngapi otherwise atwambie matumizi ya simba ni zaidi ya b5 yule ni mfanyabiashara hawezi kutoa kiasi hicho bila faida Kigwa ana hoja hata mkimpuuza
Hamisi hili tatizo kaliona baada ya kunyimwa alichoomba? Huyu Kigwa ana roho mbaya sana na ana chuki ya muda mrefu, sitosahau alichomfanyia J.J. Mwaka kipindi akiwa Afya, yeye kaisaidia nini Simba? Si kwamba namtetea Mo ila Kigwa anafanya kila kitu kulipiza kisasi kupitia kwa wanachama na wapenzi wa Simba wa wasiomjua Kigwa watamuunga mkonoHamis yupo sahihi
Angepata haya anayoyapigia Debe Kwa sasa yasingekuwepo, huu uchungu wa timu kaupata baada ya kuzikosa na kuombwa radhi hadharani wakati aliomba Kwa Siri [emoji3][emoji3][emoji3]Bodaboda alipata vle?