Kigwangalla afunika Bungeni

Mbona unampigia debe huyo jamaa kiasi hicho?

Inawezekana kwa kuwa huyo jamaa anausaka Urais kwa udi na uvumba kwa tiketi ya.magamba, akawa amekuteua wewe kuwa campaign Manager wake!
 
Huu uzi amesifiwa mbunge wa ccm sio mbaya,nyie wachaga hamkupaswa kuleta vioja hapa,kwanini msisifie kina sugu na lema?mtu akifanya vizur pongezi ni haki yake kigwangala katisha kwa speech zake
lema na sugu wanaweza kusifiwa kwa kufanya fujo tu bungeni na sio kwa hoja. hoja wazitoe wapi? labda viroja!
 

Mkuu weka hotuba humu or zip-up
 
hotuba nzuri ni ile itakayogusa ukombozi wa wanawake kimapinduzi
 
hana lolote..wabunge wa ccm wanatafuta kujiosha wala hawatushitui wao wasubr hukumu yao.
 

as long as yeye ni gamba hakuna cha maana atakacho ongea nika kielewa!!
 
binafsi kwa upande wa wabunge wa ccm kigwangallah afadhali kidogo kuliko wale wemzake.
 
Kigwangala anatudanganya, huyu kwenye bunge la katiba alichangia kwa kusaport zile kungu fu za chenge. Aende zake.
 
binafsi kwa upande wa wabunge wa ccm kigwangallah afadhali kidogo kuliko wale wemzake.

Nilishaliona hilo siku nyingi mkuu,japo ana ka uoga ka kunyanganywa kiti,huyu ni team Filikunjombe,mpinzani wa ndani.
 

Igweeeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…