Kigwangalla aahirisha press conference ya kutangaza wanaojihusisha na ushoga kwa sababu za kiufundi

Zurie

JF-Expert Member
Jul 6, 2014
2,012
5,571


Naibu Waziri Hamis Kigwangalla, amesema kuwa hawatokuwa na press conference ya kutangaza majina ya mashoga wanaojiuza na kujitangaza mitandaoni kwa sababu za kiufundi.

Hajasema kama itafanyika tena na wala kutaja siku.
 
Ufundi katika USHOGA!


Mama yangu kiuno changu,

Na mie Fundi eeh!


Sina Tatizo la kiufundi kwenye fikra zangu!

Ajipange tena, Coz vita hii ni ya Forever

Si lazima iende kwa speed inayofikiriwa


Lakini ni Vita Sahihi?

Yaani Gharama za kusolve tatizo la KIUFUNDI ni sawa na matokeo yake?

NI LAZIMAAA?????


Sawa!

"HONGERA MHESHIMIWA KWA KUJARIBU, TUPO NYUMA YAKO"


HAMTANIELEWA!
 
Mkuu...
Ebu tushushie habari mubashara, achana na mambo ya link aiseeeee....
 
Aende apelekwe na yeye mahakamani kwa kuchafua watu majina kama yule aliyesema anaushahidi wa miaka 10 lakini mtuhumiwa hapatikani na hatia
 
Back
Top Bottom