Kigwangalah Atoa Ushauri kwa Prof. Benno Ndullu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kigwangalah Atoa Ushauri kwa Prof. Benno Ndullu!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Zulqarnayn, Nov 1, 2011.

 1. Z

  Zulqarnayn Senior Member

  #1
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 107
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Katika pitapita yangu kule FB nimekutana na ushauri huu wa Mbunge wa Nzega HK kwa Benno Ndulu, governor wa Benki Kuu, je una tija ama Mb huyu anacheza makida?


  Hamisi Kigwangalla
  Free advice to the BOT governor to control inflation and the declining trend of the value of the TZS against the dollar is, instead of 'cosmetic measures'/short term solutions to increase the bank rate from 7.58 to 9.58 and reducing capital reserves of commercial banks from 20 to 10 perc., the government should ensure an ample supply of electricity (find a lasting solution), quickly solve the issue of electricity and ensure a good supply of food and all basic commodities from within the country, discourage imports of commodities from abroad and engage in an emergency program to produce excess food for selling in nearby countries (will take only 4 months to materialise) and earn quick forex! Also collect our royalty from mines in terms of gold and stock it as reserve. Long term solutions - strengthening in-country goods processing and export and arrange to charge windfall gains tax and ring fencing on gold, diamond and gas projects!

  6 hours ago*·*Like*·*Remove

  Rehema Noah and 13 others like this.

  ?View previous comments
   
 2. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  aisee.......... Hivi hajajiuzulu tu?
   
 3. Z

  Zulqarnayn Senior Member

  #3
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 107
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huyu dogo anarusha rusha miguu mwisho wake tutamkubali tu! Sema hatabiriki tu! Tehtehteh
   
 4. M

  Makamuzi JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,157
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Kigangwala anatapatapa tu huku akiwaza ubunge wake!
   
 5. Matope

  Matope JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 539
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Hv mbn kila siku kingwangala tumechoka na post zake bana wangapi walikosa asubili tu awamu inayokuja!
   
 6. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,277
  Likes Received: 19,427
  Trophy Points: 280
  si waombe ushauri hata kutoka kwaben?
   
 7. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #7
  Nov 1, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Unajua unapomzungumzia Ben kipindi hiki ambacho Jk nchi inamshinda, inaonyesha unamuandama Jk kwasababu ni Muislam na unamsifu Ben kwasababu ni Mkristo, hayo nimeambiwa mimi live
   
 8. PatPending

  PatPending JF-Expert Member

  #8
  Nov 1, 2011
  Joined: Aug 17, 2007
  Messages: 490
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Kama ni kweli watanzania tunahitaji kuanza kuheshimu professions za watu, si kila mtu ni mchumi hata kama tunaishi katika uchumi huu. Haya mapendekezo ya ndugu Kigwangalla ni mazuri kimaudhui na baadhi yanatekelezwa hivi tunavyoongea ila ukweli ni kwamba matokeo ya sera hayajitokezi mara moja hivi. Si sawa na kuflick a switch na taa kuwaka mara moja. Ndugu Kigwa nisingependa kumtemtea Ndulu for his performance hasn't matched expectations ila karibia yote unayoongelea kuna vitu kama SAGCOT, Kilimo Kwanza (whatever you think of it), EPZs, Investment Plicy and Act, IIDS, ASDP, mikakati na sera nyingine za elimu n.k ambazo zinatekelezwa kufanya kazi hiyo.

  Royalties, what royalties? Hizi ambazo hata hazifikii makusanyo ya kodi ya wiki mbili? What other kind of ring fencing unayoitaka? All the investment, mining and exploration incentives offered hazitoshi?

  Unataka a long term solution ambayo ni sahihi kabisa ila a long term solution kama una vijisenti vya kuunga unga kama Tanzania ni sawa na ndoto za Alinacha. Miradi ya nishati ya Stiegler's Gorge na mingineyo imefahamika na kuombewa fedha toka miaka ya 80 ila hakujakuwa na fedha za kuwekeza. Nina wasiwasi ndugu Kigwa anaongelea nadharia maana kama yeye ni mwanasiasa wa kweli ilihali wa chama kilichokaa madarakani toka Uhuru anapaswa afahamu vikwazo vyote vya maendeleo nchini humu. Ni vyema ndugu kigwa ukaenda kuyasoma maazimio ya Arusha, Musoma na mwongozo wa CCM wa 1981
   
 9. Consigliere

  Consigliere JF-Expert Member

  #9
  Nov 1, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,029
  Likes Received: 7,424
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo huo ndiyo ushauri wake kwa Governor wa Central Bank? Hii
  Nadhani sasa nimemuelewa and I have every reason to have Sympathy for Nzega Voters.
  Na hii itakuwa comment yangu ya mwisho kwenye Post za huyu Kigwa au zinazo muhusu, kumpinga au kukubaliana naye linawafanya wote muonekane muna akili sawa na yeye.....
   
 10. Profesa

  Profesa JF-Expert Member

  #10
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 902
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 45
  Consigliere hope hutumii ushabiki hapa kujadili hoja ya msingi! Kilicho tugharimu watanzania ni kutaka mlo wa sasa na kusahau njaa haitakoma kuuma baadae, mipango yetu haina nia na maslahi ya kitaifa, kikao kikikosa posho hakikaliki hata kiwe cha kujadili janga la kitaifa... sasa tutafika kweli? Huyu Mheshimiwa ana hoja nzuri tu ya msingi tuachilie mbali ushabiki wa kisiasa
   
 11. Consigliere

  Consigliere JF-Expert Member

  #11
  Nov 1, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,029
  Likes Received: 7,424
  Trophy Points: 280
  Prof, angalia vizuri highlights zangu zilizo in red situmii ushabiki, japo inawezekana kabisa pia nikawa nipo on the wrong track lakini si kwasababu ya ushabiki bali itakuwa ni kwasaabu ya uwezo wangu mdogo wa kufikiri na ku-reason....huyu jamaa yupo katika siasa kama muwakilishi wa watu lakini ni mtu anaeonekana hajaweza kuzi-red targets zake, anaweweseka zaidi badala ya kutimiza majukumu yake.
  Nikifananikisha mambo yake na kauli zake tofauti tofauti, unaweza ukajikuta unatafuta Medica record yake, Nikiangalia hapo juu nilipo highlit in red ndiyo nazidi kumfunga kwenye mabano
   
 12. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #12
  Nov 1, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Hahahahaaa!!
  Umeona anasema ...to engage in an emergence plan to produce eccess food to sell to nchi jirani...that will take 4 months.
  Huyu jamaa naona anavuta majani ya michongoma, sio bange hiyo.
   
 13. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #13
  Nov 1, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Wana JF,

  Kwa hili la kigwa kumshauri Ndullu ni kama yeye kwa mtazamo wake ila me si mchumi kiivyo ila ninge penda nyie wachumi mlio criticize comments za Kigwa kwa ndullu mtupe the best solution ever zenu za kututatuali janga hili la uchumi kuporomoka.
   
 14. Tangawizi

  Tangawizi JF-Expert Member

  #14
  Nov 1, 2011
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 2,835
  Likes Received: 927
  Trophy Points: 280
  Huyu mbunge, naona ameamua kutafuta his own ground. There is a price we pay to stand on what we believe
   
 15. PatPending

  PatPending JF-Expert Member

  #15
  Nov 2, 2011
  Joined: Aug 17, 2007
  Messages: 490
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Mkubwa, I wasn't criticizing Kigwa's advice rather I was merely pointing out holes in his line of thought. For the record it will be unfair of Kigwangalla to expect governor Ndullu to carry out what is essentially the primary task of the executive branch. Ndullu and the BoT are only in charge of monetary policy with the control of inflation as their primary objective. To quote Section II article 5(1) of the 2006 BoT Act "The principal functions of the Bank shall be to exercise the functions of a central bank and, without prejudice to the generality of the foregoing, to formulate, implement and be responsible for monetary policy, including exchange rate policy, to issue currency, to regulate and supervise banks and financial institutions including mortgage financing, development financing, lease financing, licencing and revocation of licences and to deal, hold and manage gold and foreign exchange reserves of Tanzania. "

  http://www.bot-tz.org/AboutBOT/BOTAct2006.pdf


  Discretionary spending forms the core of fiscal policy an onus sadly in the hands of ministerial technocrats whose opinions and advice get ignored by politicians. This is one of the reasons why I specifically asked Mr. Kigwa to go read the 1981 Mwongozo wa CCM. The other major obstacle in planning or the execution of long term solutions lies in the financing of such solution especially when the government can barely collect enough to finance its annual budget or pay its workers for that matter. Usually long term investment projects get financed by a country's savings or earning from investments elsewhere, hizi ziko wapi Tanzania? Most resource rich countries tend to have souvereign funds partly for such purposes.
  Tatizo lingine ni pale recurrent spending inapoaccount for almost two thirds of your budget na hapo ni baada ya kufanya civial service reforms aimed at cutting down costs.
  To the government's credit however, the numerical expansion in education should probably pay dividend within the next decade or so, such is the lag in return on human capital investment.
   
Loading...