Kigoma Wing; Post Valentine Party

Kigoma Wing; Post Valentine Party

Aisee Kaunga kila la kheri!
Bila shaka mambo yatakwenda sawa!
 
Last edited by a moderator:
Hellow wachu!
Jamani wana JF walioko Kigoma, let's have some fun this Feb.
Wazo langu ambalo naomba mliboreshe;
On 16th Feb at 8.00am we get into the boat to Gombe, watakao hike na kuangalia chimps, wavivu wataogelea kwenye beatiful shores of the Lake T.

Jioni we come back to town na kuparty at Lake Tanganyika beach hotel for the African night. Theme ni African, tupia chochote African and enjoy the evening at no.1 hotel in Kigoma.

Kiingilio jioni; none, ila usiache wallet yako.
Boat fare; we need at least 60ltr of gasoline kwenda na kurudi Gombe, na malipo kidogo ya boat attendants.
Kwa Gombe; park entrance fee ni 1,500/=
Kutambuana; nashauri tutanbulishane kwa majina yetu halisi na sio JF IDs coz Kigoma ni ndogo sana.

Karibuni kwa mawazo, kama mpo humu!

Kaunga, Lake Tanganyika Beach Hotel ndio ile ilokuwa Railway Hotel? Nasikitika nimekuwa mgeni kwenye mji ambao nilitumia maisha yangu unaanza kuwa mgeni kwangu. Hiyo Hotel iko wapi?
 
Back
Top Bottom