Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 18,200
- 27,255
CHADEMA ni wabaguzi. Hawana ajenda. Yaani sio tu ni wafilisi, bali wamefilisika Kisiasa.
Wanaenda huko kuonyesha Helicopter waliyonunuliwa na CCM. Zaidi ya hapo ni yule "Kivutio" wao WanaCHADEMA kwenda kumtembeza mtu aliyepigwa shaba 16,au 32, au 38 ikitegemea wapi wanayasema hayo.
Utuletee taarifa kamili wasije wakatuhadaa na picha zao za Akili bandia
Unaongea mawazo yako. Tukutane mkutanoni, wote tupige picha, leta picha zako, tutaleta za kwetuLeo nimefika kigoma kwa ajili ya mambo mbalimbali, lakini kwa kuwa chadema watakua na mkutano hapa imenibidi napo nitafute kujua nini kinaendelea...
Ok ngoja tuone kama watatoka kapa au la.Leo nimefika kigoma kwa ajili ya mambo mbalimbali, lakini kwa kuwa chadema watakua na mkutano hapa imenibidi napo nitafute kujua nini kinaendelea...
Unaweza hamia Nsumbiji.Pole kwa maumivu makali. CDM ni kama maji,usipoyaoga utayanywa.
Mimi niko hapa gungu wewe uko viunga gani bwashee?mbona unawadanganya watu wakati mimi niko laivu hapa mjini.tusiwapotoshe wanajf humu ndani.njoo nipo mashariki tu hapo nawafuatilia.Leo nimefika Kigoma kwa ajili ya mambo mbalimbali, lakini kwa kuwa chadema watakua na mkutano hapa imenibidi napo nitafute kujua nini kinaendelea...
Zamu hii lazima utage NANASI PORILeo nimefika Kigoma kwa ajili ya mambo mbalimbali, lakini kwa kuwa chadema watakua na mkutano hapa imenibidi napo nitafute kujua nini kinaendelea...
Naingia kazini rasmiSawa kabisa, picha zote tupia hapa ili watu wapate kumpuuza mleta mada siku za usoni.
Umerudi Tena na uongo wako. Ilungesubiri mkutano uanze, ndio ulete porojo.Leo nimefika Kigoma kwa ajili ya mambo mbalimbali, lakini kwa kuwa chadema watakua na mkutano hapa imenibidi napo nitafute kujua nini kinaendelea...
Msubiri mkutano uanze , punguzeni haraka na uongo.Upo sahihi, nimeongea na wazee wa hapo mwandiga wamenifahamisha ukweli huo huo.
Pole kwa kufilisiwa na CHADEMA.CHADEMA ni wabaguzi. Hawana ajenda. Yaani sio tu ni wafilisi, bali wamefilisika Kisiasa.
Wanaenda huko kuonyesha Helicopter waliyonunuliwa na CCM. Zaidi ya hapo ni yule "Kivutio" wao WanaCHADEMA kwenda kumtembeza mtu aliyepigwa shaba 16,au 32, au 38 ikitegemea wapi wanayasema hayo.
Utuletee taarifa kamili wasije wakatuhadaa na picha zao za Akili bandia.
Huyo dada kuna kamanda wa CHADEMA atakuwa kamnani hii kwa mkopo!.Pole kwa kutapatapa. Mambo ya chadema yatakutoa roho
Walikisaliti kwenye nini?. Usipende kuropoka.Kigoma hawawezi kupokea wasaliti na wanafiki Chadema