tatizo la kufikiria kwa kutumia masaburi. Majimbo yote? wewe ni mtanzania? au unaongelea nchi ipi? ccm inawabunge wangapi?ni miezi kadhaa imepita tangu uchaguzi mkuuu ufanyike. majimbo ya ubunge karibia yote yamekwenda kwa vyama pinzani. sidhani kama kuna mkoa ambao hili limeshawahi kutokea hapo kabla.je huu mwamko au uthubutu wa kufanya maamuzi haya unatokana na nini? je ni elimu, maendeleo ya kiuchumi, au aina ya watu na desturi za watu (makabila) yaishiyo huko? kwa nini hayo hayatokei mikoa mingine. naomba wadau mnisaidie kwa hili?
ni miezi kadhaa imepita tangu uchaguzi mkuuu ufanyike. majimbo ya ubunge karibia yote yamekwenda kwa vyama pinzani. sidhani kama kuna mkoa ambao hili limeshawahi kutokea hapo kabla.je huu mwamko au uthubutu wa kufanya maamuzi haya unatokana na nini? je ni elimu, maendeleo ya kiuchumi, au aina ya watu na desturi za watu (makabila) yaishiyo huko? kwa nini hayo hayatokei mikoa mingine. naomba wadau mnisaidie kwa hili?
<br /> <br / Arusha, mbeya, musomaNi mwamko na uelewa wa wananchi, watanzania wa leo sio wale wa mwaka 47, na sio kigoma tu, angalia mwanza, Dar, Kilimanjaro n.k
tatizo la kufikiria kwa kutumia masaburi. Majimbo yote? wewe ni mtanzania? au unaongelea nchi ipi? ccm inawabunge wangapi?
tatizo la kufikiria kwa kutumia masaburi. Majimbo yote? wewe ni mtanzania? au unaongelea nchi ipi? ccm inawabunge wangapi?
Kweli una gamba kwenye ubongo!! wapi NCHI imetajwa?!! vua GAMBA au utaachwa kwenye kundi la wezi!!tatizo la kufikiria kwa kutumia masaburi. Majimbo yote? wewe ni mtanzania? au unaongelea nchi ipi? ccm inawabunge wangapi?
Muha mmoja anauwezo wa kubishana na abiria 80 ambao ni behewa zima...haijalishi yuko right or wrong. Ila sifa yao kuu wako committed na mambo wafanyayo. Ukikuta ni mlokole ni mlokole kweli...vivyo hivyo kws footballers..jambazi...wachawi n.k