mwana siasa
Senior Member
- Aug 28, 2007
- 119
- 6
Mwanasiasa, nimemesikiliza Channel Ten, Serukamba ndie katangazwa mshindi!. Unapopost posti kama hii, pia uwe unatoa na update, baada ya kura kuhesabiwa upya, ndipo na uchakachuaji ukapenyea hapo hapo, Serukamba ndipo alipoibukia.Hivi sasa niko kigoma mjini na matokeo ni kama ifuatavyo:
Kigoma mjini : Chadema wameongoza kwa kura 400, serukamba wa ccm kagoma kusaini matokeo so wameomba recount na sasa kura zinahesabiwa, zitto yupo hapa kuweka mambo sawa. Ila so far chadema imeongoza.
Kigoma kusini : Kafulila wa nccr kashinda tena kwa kishindo
kigoma kaskazini: Zitto kapeta
majimbo yote ya kasulu nccr imeongoza akiwepo mwanamama mmoja
kibondo mjini (muhambwe): Nccr imechukua tena ni kijana mdogo sana anaitwa felix mkosamali
kibondo vijijini (buyungu): Chadema anaongoza, japo kura bado zinahesabiwa.
So mpaka sasa kama mambo yakienda vizuri kwenye jimbo la buyungu na upinzani wakachukua basi kigoma yote itakuwa ya upinzani
weraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa a...............
Hivi sasa niko kigoma mjini na matokeo ni kama ifuatavyo:

hii itakuwa imetulia kweli kweli na itakuwa fundisho kubwa sana kwa mikoa ya kusini. Nimechukia sana sisi watu wa kusini ni mambumbumbu kweli kweli. Sijui lini tutabadilika na kutoa matongotongo kwenye vichwa vyetu.
Kwani so far si wamechukua segerea,kawe na ubungo?? ukiangalia population ya jimbo moja la dar nadhani inakaribiana na majimbo ma4 ya kigoma..sasa kigoma wakija kuishi dar itakuwa ni sawa na boflo kuchovywa baharini!...Kigoma majimbo nane ya uchaguzi NCCR majimbo 4, CHADEMA 1 nawapenda sana:israel: