Elections 2010 Kigoma: Majimbo matano yaenda upinzani!

mwana siasa

Senior Member
Aug 28, 2007
119
6
Hivi sasa niko kigoma mjini na matokeo ni kama ifuatavyo:

Kigoma mjini : Chadema wameongoza kwa kura 400, serukamba wa ccm kagoma kusaini matokeo so wameomba recount na sasa kura zinahesabiwa, zitto yupo hapa kuweka mambo sawa. Ila so far chadema imeongoza.

Kigoma kusini : Kafulila wa nccr kashinda tena kwa kishindo

kigoma kaskazini: Zitto kapeta

majimbo yote ya kasulu nccr imeongoza akiwepo mwanamama mmoja

kibondo mjini (muhambwe): Nccr imechukua tena ni kijana mdogo sana anaitwa felix mkosamali

kibondo vijijini (buyungu): Chadema anaongoza, japo kura bado zinahesabiwa.

So mpaka sasa kama mambo yakienda vizuri kwenye jimbo la buyungu na upinzani wakachukua basi kigoma yote itakuwa ya upinzani

weraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa a...............
 
asante mwanasiasa kwa habari taamu, wengine wenye sweet news, leteni habari
 
Hii itakuwa imetulia kweli kweli na itakuwa fundisho kubwa sana kwa mikoa ya kusini. Nimechukia sana sisi watu wa kusini ni mambumbumbu kweli kweli. Sijui lini tutabadilika na kutoa matongotongo kwenye vichwa vyetu.
 
Bunge lijalo litakuwa balaa, huyo bwana mdogo Kafulila wa NCCR ni moto wa kuotea mbali, nilimsikiliza kwenye mdaharo wa TBC, anaongea mambo kwa kushusha data za kuleweka, saaaafi sana CCM presha inapanda kisha inashuka ugonjwa mbaya sana huo, si muda mrefu wata collapse tu.
 
Hivi sasa niko kigoma mjini na matokeo ni kama ifuatavyo:

Kigoma mjini : Chadema wameongoza kwa kura 400, serukamba wa ccm kagoma kusaini matokeo so wameomba recount na sasa kura zinahesabiwa, zitto yupo hapa kuweka mambo sawa. Ila so far chadema imeongoza.

Kigoma kusini : Kafulila wa nccr kashinda tena kwa kishindo

kigoma kaskazini: Zitto kapeta

majimbo yote ya kasulu nccr imeongoza akiwepo mwanamama mmoja

kibondo mjini (muhambwe): Nccr imechukua tena ni kijana mdogo sana anaitwa felix mkosamali

kibondo vijijini (buyungu): Chadema anaongoza, japo kura bado zinahesabiwa.

So mpaka sasa kama mambo yakienda vizuri kwenye jimbo la buyungu na upinzani wakachukua basi kigoma yote itakuwa ya upinzani

weraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa a...............
Mwanasiasa, nimemesikiliza Channel Ten, Serukamba ndie katangazwa mshindi!. Unapopost posti kama hii, pia uwe unatoa na update, baada ya kura kuhesabiwa upya, ndipo na uchakachuaji ukapenyea hapo hapo, Serukamba ndipo alipoibukia.
 
Hivi sasa niko kigoma mjini na matokeo ni kama ifuatavyo:

Kigoma mjini : Chadema wameongoza kwa kura 400, serukamba wa ccm kagoma kusaini matokeo so wameomba recount na sasa kura zinahesabiwa, zitto yupo hapa kuweka mambo sawa. Ila so far chadema imeongoza.

Kigoma kusini : Kafulila wa nccr kashinda tena kwa kishindo

kigoma kaskazini: Zitto kapeta

majimbo yote ya kasulu nccr imeongoza akiwepo mwanamama mmoja

kibondo mjini (muhambwe): Nccr imechukua tena ni kijana mdogo sana anaitwa felix mkosamali

kibondo vijijini (buyungu): Chadema anaongoza, japo kura bado zinahesabiwa.

So mpaka sasa kama mambo yakienda vizuri kwenye jimbo la buyungu na upinzani wakachukua basi kigoma yote itakuwa ya upinzani

weraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa a...............

Werawera...................mikoa midogo lakini inafanya mambo makubwa............way to go people!!:smile:
 
Hivi sasa niko kigoma mjini na matokeo ni kama ifuatavyo:

Kigoma mjini : Chadema wameongoza kwa kura 400, serukamba wa ccm kagoma kusaini matokeo so wameomba recount na sasa kura zinahesabiwa, zitto yupo hapa kuweka mambo sawa. Ila so far chadema imeongoza.

Kigoma kusini : Kafulila wa nccr kashinda tena kwa kishindo

kigoma kaskazini: Zitto kapeta

majimbo yote ya kasulu nccr imeongoza akiwepo mwanamama mmoja

kibondo mjini (muhambwe): Nccr imechukua tena ni kijana mdogo sana anaitwa felix mkosamali

kibondo vijijini (buyungu): Chadema anaongoza, japo kura bado zinahesabiwa.

So mpaka sasa kama mambo yakienda vizuri kwenye jimbo la buyungu na upinzani wakachukua basi kigoma yote itakuwa ya upinzani
weraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa a...............

Je matokeo haya ni rasmi katika majimbo yote?? kwa maana yametangazwa na NEC.
 
Si kweli Star TV wametangaza Peter Serukamba kigoma, Kabwe kweli kashinda majimbo mengine bado kutangaza labda matokeo ya mwanzo tu
 
Pongezi saaaaaaana wana Kigoma wenzangu tumetengwa muda mrefu sana, Tunaahidiwa international airport wakati shida yetu ni reli na barabara? ilikuwa dhihaka na matusi. pongezi kwa kutuma salaam. km ni kweli CCM watajifunza kigoma tunataka mapinduzi. poleni wana Kasulu kwa kichapo (vibao/makofi) toka kwa Nsanzugwanko wakati wa kampeni mlipomuuliza maswali.
 
Nakumbuka wakati anarudi CCM, Nsanzugwanko alimwambia Mkapa kuwa amevunja kambi yake ya NCCR huko kigoma na anajiunga na CCM pamoja na kambi yake nzima. Haya yalikuwa matusi kwa wanamageuzi na hongereni wana Kasulu kwa kumwadhibu.
 
Mkoa wa Kigoma umesahaulika kwa muda mrefu, na ilikuwa na sehemu ya kuchukulia kura (uncompetitive zone) ukiondoa kgm ujiji. sasa CCM watashtuka. serikali iliwatenga sana km vile siyo sehemu ya Tanzania. mfano wkt wanatenga mihela kibao kukarabati mjendo wa bunge kwa zaidi ya bilion 33 unaoendelea sasa, hakuna anayehangaika na shirika la reli wakati wananchi wanataabika na usafiri in and out. eti Kikwete anawaahidi kujenga international airport, sijui alikuwa ahajui km siyo kipaumbele kwa KGM. HEKO WANA KIGOMA KWA MAPINDUZI. BADO MIKOA YA KUSINI.
 
hii itakuwa imetulia kweli kweli na itakuwa fundisho kubwa sana kwa mikoa ya kusini. Nimechukia sana sisi watu wa kusini ni mambumbumbu kweli kweli. Sijui lini tutabadilika na kutoa matongotongo kwenye vichwa vyetu.

unajua watu wa kusini wengi wao ni wavivu kufikiri na wagumu kuchukua hatua,
napendekeza ifanyike operation sangara kule kusini
 
Kigoma majimbo nane ya uchaguzi NCCR majimbo 4, CHADEMA 1 nawapenda sana:israel:
Kwani so far si wamechukua segerea,kawe na ubungo?? ukiangalia population ya jimbo moja la dar nadhani inakaribiana na majimbo ma4 ya kigoma..sasa kigoma wakija kuishi dar itakuwa ni sawa na boflo kuchovywa baharini!...
Muamko mzuri kwa wakazi wa kigoma na kama sio huyo bwana serukamba kuchakachua basi kigoma ilikuwa iwe kambi maalum ya Upinzani
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom