Ukusikia wagonjwa waliokufa ? Huyo afungwe miaka mingi tu , mbona jina hawajamtaja ?Miaka kumi kasaidia kutibu wagonjwa na wamepona, hebu wamwache aendelee na kazi yake
Watanzania tunaamini katika makaratasi na si vitendo; hao waliowatibu kwa miaka 10 walipona au walifariki? Maana inaelekea tunaweza kumwona Dr Shika kuwa ni daktari mzuri kwa kuwa na vyeti vingi wakati hajawahi kuingia wodini.Jeshi la polisi mkoa wa Kigoma limemkamata daktari feki toka kambi ya wakimbizi ya Nyarugusu Wilaya ya Kasulu ambaye amekuwa akifanya kazi za utabibu kwa zaidi ya miaka kumi katika Hosiptali mbalimbali hapa nchini.
Chanzo: Azam Tv
Kwa muda wote huo ameshakuwa daktari BingwaJeshi la polisi mkoa wa Kigoma limemkamata daktari feki toka kambi ya wakimbizi ya Nyarugusu Wilaya ya Kasulu ambaye amekuwa akifanya kazi za utabibu kwa zaidi ya miaka kumi katika Hosiptali mbalimbali hapa nchini.
Chanzo: Azam Tv