Kigoma cha urugwai...

Kigoma cha urugwai...

kabanga

Platinum Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
37,649
Reaction score
19,042
Ngoma inanoga kukiwa na mvua kama hivi....
ngoma yetu.jpg
 
Imenikumbusha Sinema moja ya Rambo "You look like a BOY, but, You FIGHT like a MAN..."

She look like a...
attachment.php
 
Kiuno kabinua - hajafikisha mwisho, kuna nyuzi fulani kazembea, uchunguzi zaidi wa 3D video unahitajika kutoa maksi za mwisho-.

Lakini haibiwi mtu hapa, hata kama tuzo itatolewa kwa 4D Einsteinian rendition.
 
hii nikijua ni wapi lazima nitie timu huko one day!
 
Huyu jamaa ni mtalaam kwel. tazama kile kidole cha kati kilipolenga.
 
Back
Top Bottom