Kigoma: Ajali ya Hiace yaua watu 7 na kujeruhi 12, ni baada ya kupasuka tairi

Imetokea ajali mbaya Kigoma njia ya Uvinza Kijiji cha Mulela.

Mpaka sasa nimeshuhudia maiti saba.

Hiace imepasua tairi na kupinduka

Majeruhi wamepelekwa Hospitali ya Maweni

Hiace ilikua imetoka Uvinza kwenda kigoma mjini

Kwa mujib wa mashuhud Hiace mbil zilikua zinakimbizana zote za kampun moja baada ya kutoka Mwamila kuelekea Kigoma mjini

Uwokozi unaendelea

Stay tuned
Poleni sana, Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina la Bwana lihimidiwe, wapumzike kwa Aman. Amina
 
Back
Top Bottom