Kigoma: Ajali ya Hiace yaua watu 7 na kujeruhi 12, ni baada ya kupasuka tairi

Uwokozi- uokoaji!


Poleni sana! Ile njia mbovu sana, serikali nao wamewasahau sana!
Kuna sehemu kama unaenda kasulu jina nimelisahau baada ya ule mlima uliokaa vibaya panjaaga matope kipindi cha mvua inabidi watu mshuke gari lipite lenyewe likiwa tupu..yote 9 madereva wa kigoma wanaendesha gari kwa kasi sana..120-130 kwenye barabara ya vumbi
 
Back
Top Bottom