Kigogo wa CCM: Lowassa anafanya kampeni

Kigogo wa CCM: Lowassa anafanya kampeni

7. January Makamba - Anategemea jina la Baba,bado mchanga sana kuongoza nchi kubwa kama Tanzania.

Huyu ni mwizi. Kaiba paper za NECTA na kaiba pesa za wahisani.
 
Mwizi anarusha miba kama nungunungu kazi munayo maganbs
 
Ccm hakuna mtu wa kumdhibiti Lowasa kwa kuwa alishakimiliki chama tangu alipofariki Mwal. Nyerere. Umiliki huo ulionekana alipofanikiwa kuwemka madarakani Kikwete kwa kutumia vitisho vya kimafia mwaka 2005 wala ccm wasijue nini cha kufanya japo wanajua alivyowa blackmail.

Na sasa anatamba kwamba hakuna cha kumzuia kwenda ikulu kwa kuwa walishapanga na kikwete kwamba akitoka JK atafuata Lowasa.

Kwa ufupi, ccm haifai na wala haina uwezo wa kujiongoza yenyewe na hivyo kuhamisha udhaifu na matatizo ya chama kuwa ya serikali na taifa la watanzania na hivo kuwa na athari mbaya katika maisha ya watanzania wote na mwelekeo wa taifa kwa ujumla.

Kukosa uongozi imara kwa ccm ndiko kulikofanya fisadi mafia lowasa aiteke nchi na kumweka Kikwete madrakani bila sifa wala uwezo na matokeo yake yako dhahiri usoni pa dunia nzima.

Kama kwamba haitoshi, kwa kutumia umafia wake, dharau na vitisho, lowasa ameendelea ku dictate kila anachokitaka yeye kifanyike kwa blackmail vyombo vya maamuzi ndani ya ccm. Sasa anatumia nguvu ile ile ya ufisadi na umafia kulazimisha awe raisi wa nchi na kwa kuwa ccm anaimiliki, hawana ujanja zaidi ya kuridhia matakwa yake.

Sasa kama alimweka Kikwete madrakani na kikwete amefanya aliyoyafanya kwa kuwatumia kila lowasa na mafisadi wengine, hii ni dhahiri kwamba ccm inaendeshwa na mafia group. Hawa mafia wameonyesha meno na makucha yao kulimaiza taifa bila huruma. Na bila haya lowasa anadiriki kusema walikubaliana na kikwete akitoka kikwete atawale lowasa!, na baada ya lowasa labda Rostam, na baada ya Rostam pengine Riziwani na baada ya Rizwani pengine Fredy Lowasa, na baada ya fred, watoto wa Rostam na kadhalika na kadhalika.

Kwa picha hii, ccm lazima waondoke na umafia wao at any cost. Kama wanataka kuendeleza himaya ya kimafia, waende wakanunue visiwa nchi za mbali, waite rafiki zao wakatalane kula lakini Tanzania imekwisha wafahamu na hatutakubali kufanywa wapum.bavu kwa namna yoyote ile tena.

Ccm fungeni virago Tanzania hatuwataki!. Ufirauni wenu wa kutishiana, kutunziana siri, na kulindana katika kuua Watanzania hatuutaki. Afadhali wakaondoka kwa amani kabla joto la hasira za Watanzania halijawaodoa kwa lazima.

Mods wamefuta thread moja iliyokuwa imeandikwa kwamba "Kama lowasa ni msafi nani mchafu ccm?". Nilitamani ibaki ili wachangiaji waelewe umafia wa lowasa, dharau zake na jinsi anavyowachezea ccm na kuwalazimisha wafanye kile yeye na mafisadi wenzake wanataka.
 
Lowasa ni nani?
 
Mambo hugeuka sana...
Sasa hivi Chadema hakuna wa kumzuia Lowassa kugombea urais 2020!! Teh teh teh... Na nyumbu kama huyu anashangilia!!!
 
Daaah unamtukana Lowassa!
Acha kufuru zako ndugu. Ugonjwa unatoka kwa MUNGU. Jiulize, je waliomtukana majukwaani kwamba ni mfu, wako wapi?. Mbona hata mifupa yao imeisha oza!. Maisha na ugonjwa Mungu ndiye ajuaye.
 
Back
Top Bottom