CCM Wamesha anza kushikana uchawiKigogo mmoja wa chama ambaye jina lake halikutajwa wala chama anachotoka anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani Mwanza kwa tuhuma za kujihusisha na mauaji ya albino na utengenezaji wa noti bandia.
Magazeti yameripoti leo yakisema kigogo huyo anahusishwa na mbio za urais.
Najua JF is where we speak openly haitashindikana kulipata jina wa chama anachotoka.
Gazeti la Uhuru pia limeandika habari hii na halikutaja chama.Kigogo mmoja wa chama ambaye jina lake halikutajwa wala chama anachotoka anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani Mwanza kwa tuhuma za kujihusisha na mauaji ya albino na utengenezaji wa noti bandia.
Magazeti yameripoti leo yakisema kigogo huyo anahusishwa na mbio za urais.
Najua JF is where we speak openly haitashindikana kulipata jina wa chama anachotoka.
Wanasema alikuwa kwenye kinyang'anyiro cha urais na anakaa Nyanguge Mwanza na pia amekamatwa na fedha za kughushi pia.
Kweli mkuu angekuwa anatoka chama cha upinzani uhuru lisingeficha ukizingatia pia gazeti la jambo leo nalo limeripoti bila kutaja chama lakini lazima ukweli tajulikana tu. Ila nasikia kamanda wa jeshi la polisi Mwanza leo ataongea na waandishi wa habari na kuweka wazi kila kitu.Gazeti la Uhuru pia limeandika habari hii na halikutaja chama.
Iwapo gazeti la uhuru limekaa kimya bila kutaja chama, ni dalili za wazi kwamba kigogo huyo ni wa ccm.Angekuwa
chama kingine say chadema, uhuru lingepiga tararira nyingi sana
Gazeti la Uhuru pia limeandika habari hii na halikutaja chama.
Iwapo gazeti la uhuru limekaa kimya bila kutaja chama, ni dalili za wazi kwamba kigogo huyo ni wa ccm.Angekuwa
chama kingine say chadema, uhuru lingepiga tararira nyingi sana
Mlioko Mwanza fuatilieni mtujuze ukweli wa hii habari.
Kigogo mmoja wa chama ambaye jina lake halikutajwa wala chama anachotoka anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani Mwanza kwa tuhuma za kujihusisha na mauaji ya albino na utengenezaji wa noti bandia.
Magazeti yameripoti leo yakisema kigogo huyo anahusishwa na mbio za urais.
Najua JF is where we speak openly haitashindikana kulipata jina wa chama anachotoka.
Gazeti la Uhuru pia limeandika habari hii na halikutaja chama.
Iwapo gazeti la uhuru limekaa kimya bila kutaja chama, ni dalili za wazi kwamba kigogo huyo ni wa ccm.Angekuwa chama kingine say chadema, uhuru lingepiga tararira nyingi sana
Kweli mkuu angekuwa anatoka chama cha upinzani uhuru lisingeficha ukizingatia pia gazeti la jambo leo nalo limeripoti bila kutaja chama lakini lazima ukweli tajulikana tu. Ila nasikia kamanda wa jeshi la polisi Mwanza leo ataongea na waandishi wa habari na kuweka wazi kila kitu.
Nilisema hapa watu wakawa hawanielewi
CCM inahusika na mauaji ya Albino
Tuwe wawazi tu.....Hilo kundi la Urais ni la kina Lowasa
Mwigulu anahusika kwa kiasi kikubwa na hayo mauaji
Mnamjua Pro Lowasa wa Kanda ya Ziwa?
Niliposema kuna ushahidi wa wazi nilikua sikurupuki.....