Kigogo mbaroni Mwanza mauaji ya albino

Kigogo mbaroni Mwanza mauaji ya albino

EasyFit

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Posts
1,269
Reaction score
1,082
Kigogo mmoja wa chama ambaye jina lake halikutajwa wala chama anachotoka anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani Mwanza kwa tuhuma za kujihusisha na mauaji ya albino na utengenezaji wa noti bandia.

Magazeti yameripoti leo yakisema kigogo huyo anahusishwa na mbio za urais.

Najua JF is where we speak openly haitashindikana kulipata jina wa chama anachotoka.
 
CCM Wamesha anza kushikana uchawi
 
Atakuwa huyu aliyekuwa mwanza juzi na jana.
 
Wanasema alikuwa kwenye kinyang'anyiro cha urais na anakaa Nyanguge Mwanza na pia amekamatwa na fedha za kughushi pia.
 
Mgombea uraisi tena? Hata gazeti la uhuru limeripoti.
 
Wasi wasi wangu hii isije ikawa ni njia ya kubambika kesi kwa manufaa ya kisiasa na kukwepesha ukweli.
 
Kigogo mmoja wa chama ambaye jina lake halikutajwa wala chama anachotoka anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani Mwanza kwa tuhuma za kujihusisha na mauaji ya albino na utengenezaji wa noti bandia.

Magazeti yameripoti leo yakisema kigogo huyo anahusishwa na mbio za urais.

Najua JF is where we speak openly haitashindikana kulipata jina wa chama anachotoka.
Gazeti la Uhuru pia limeandika habari hii na halikutaja chama.
Iwapo gazeti la uhuru limekaa kimya bila kutaja chama, ni dalili za wazi kwamba kigogo huyo ni wa ccm.Angekuwa
chama kingine say chadema, uhuru lingepiga tararira nyingi sana
 
Mlioko Mwanza fuatilieni mtujuze ukweli wa hii habari.
 
Kweli mkuu angekuwa anatoka chama cha upinzani uhuru lisingeficha ukizingatia pia gazeti la jambo leo nalo limeripoti bila kutaja chama lakini lazima ukweli tajulikana tu. Ila nasikia kamanda wa jeshi la polisi Mwanza leo ataongea na waandishi wa habari na kuweka wazi kila kitu.
 
Angekuwa mpinzani gazeti la Uhuru ligetupa hadi picha yake.Hata hivyo hatujachelewa kama ni upinzani hasa UKAWA sikiliza Breakfast ya CLOUDS FM siajabu hata DC wa Kinondoni ameitwa kuja kunogesha mambo.
 
Mlioko Mwanza fuatilieni mtujuze ukweli wa hii habari.

Nimeanza kufuatilia toka nisikie asubuhi. Nami bila chenga nitarudi na habari kamili. Stay tuned, kwenye hili la kuua Albino huyo mwenyekiti hata atoke kwenye ukoo wangu acha chama nikipendacho lazima nitamuwasha tuu hapa JF. Dunia haiwahitaji hao washenzi.
 
Kigogo mmoja wa chama ambaye jina lake halikutajwa wala chama anachotoka anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani Mwanza kwa tuhuma za kujihusisha na mauaji ya albino na utengenezaji wa noti bandia.

Magazeti yameripoti leo yakisema kigogo huyo anahusishwa na mbio za urais.

Najua JF is where we speak openly haitashindikana kulipata jina wa chama anachotoka.

Nilisema hapa watu wakawa hawanielewi

CCM inahusika na mauaji ya Albino

Tuwe wawazi tu.....Hilo kundi la Urais ni la kina Lowasa

Mwigulu anahusika kwa kiasi kikubwa na hayo mauaji

Mnamjua Pro Lowasa wa Kanda ya Ziwa?

Niliposema kuna ushahidi wa wazi nilikua sikurupuki.....
 
Gazeti la Uhuru pia limeandika habari hii na halikutaja chama.
Iwapo gazeti la uhuru limekaa kimya bila kutaja chama, ni dalili za wazi kwamba kigogo huyo ni wa ccm.Angekuwa chama kingine say chadema, uhuru lingepiga tararira nyingi sana

Kweli kabisa! Yaani angekuwa Chadema, hata kama ni mama ntilie, Uhuru lingepiga baragumu ungedhani mama ntilie huyu ndiye mkuu wa nchi.
 
Kweli mkuu angekuwa anatoka chama cha upinzani uhuru lisingeficha ukizingatia pia gazeti la jambo leo nalo limeripoti bila kutaja chama lakini lazima ukweli tajulikana tu. Ila nasikia kamanda wa jeshi la polisi Mwanza leo ataongea na waandishi wa habari na kuweka wazi kila kitu.

Ccm ni wapumbavu sana wamemukamata mwenyekiti wa wilaya wa chadema wilaya mr Makanyaga.
Wanajaribu kutisha watu na viongozi wetu ni mchezo uleule uliofanywa kwa lwakatale mkurugenzi wa ulinzi na usalama wa CDM.
Na sasa hivi anayeucheza mchezo huu ni mkuu wa mkoa
 
Nilisema hapa watu wakawa hawanielewi

CCM inahusika na mauaji ya Albino

Tuwe wawazi tu.....Hilo kundi la Urais ni la kina Lowasa

Mwigulu anahusika kwa kiasi kikubwa na hayo mauaji

Mnamjua Pro Lowasa wa Kanda ya Ziwa?

Niliposema kuna ushahidi wa wazi nilikua sikurupuki.....

Sasa ushahidi wa wazi uko wapi? Au umekurupuka?
 
Mbona wengine wakukamatwa wanatajwa??kwani
 
Back
Top Bottom