Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,731
dah hii inatisha mmmmh
nilivyochapia aibu nimeona mimi
boda boda 420 kama kila boda boda kwa siku ni shiling elfu kumi huyu jamaa anaingiza miloni mia nne ishirini kila siku
what a business....!!!
​ni milioni nne na laki mbili ndugu yangu kwa siku na sio mia nneboda boda 420 kama kila boda boda kwa siku ni shiling elfu kumi huyu jamaa anaingiza miloni mia nne ishirini kila siku
what a business....!!!
Huyu jamaa anauza pkpk sio kwamba zinafanya kazi ya bodaboda
Aisee........hesabu ya wapi hii...............?
Meneja wake huyu hapa ameshalitolea ufafanuzi, haya vipi kuhusu panone na p. Statio zake zote na malori ...ni za nani nasikia ngiloi ni boya tu..naomba ufafanuzi mkuu meneja wa matajiri tz.
boda boda 420 kama kila boda boda kwa siku ni shiling elfu kumi huyu jamaa anaingiza miloni mia nne ishirini kila siku
what a business....!!!
Tupe na hesabu ya gharama za kuziendesha.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
boda boda 420 kama kila boda boda kwa siku ni shiling elfu kumi huyu jamaa anaingiza miloni mia nne ishirini kila siku
what a business....!!!
Hizo boda boda ameiba au amenunua kwa fedha zake taslimu? Watanzania tuache wivu wa kipuuzi.
Mkuu kimba limekubana au?boda boda 420 kama kila boda boda kwa siku ni shiling elfu kumi huyu jamaa anaingiza miloni mia nne ishirini kila siku
what a business....!!!
Jamanieee tumwache huyo na mia nne zake!
Ukweli ni kuwa huyu jamaa alikuwa agent wa hizi pikipiki! Nakumbuka dealer yeyote alikuwa anaingiza pikipiki kwa jina lake. Anapouza anakuwa ameshasajili na kukatia bima pia. So mnunuzi anatakiwa aende kubadili jina kutoka kwa muuzaji hadi kwa mmiliki. Watanzania wengine kwa ama makusudi ama kutokujua impact huwa hawabadilishi namba wakisha nunua. Ninachokiona hapa ni TRA wangedai kuona receipts alizouzia hizo pikipiki maana serekali lazima ipate mapato hapo!
Pili ukiangalia kama mtu anazo hizo pikipiki pamoja na kuwa siamini kuwa anazo 422!, hata kwa hesabu ya chini kabisa ya 5000 kwa siku bado anazo milioni 2 na ushee! Sasa mtu mwenyekipato hicho ang'ang'ane na 2.6m kwa safari ya Marekani sijaona mantiki yake hapo. Tuhuma hizi ni za kisiasa tu sioni hoja!
boda boda 420 kama kila boda boda kwa siku ni shiling elfu kumi huyu jamaa anaingiza miloni mia nne ishirini kila siku
what a business....!!!