Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,917
Tusaidiane kuweka wazi hawa watu. Ni Mani huyo wa mabango?Naona na yale Mabango ya Manispaa ya Kinondoni yamegusa mfupa wa mtu.Ukiona CCM inalalama ujue kuna mahali pameguswa
Yule aliyesema ccm si jipu ni busha hakukoseaNaona na yale Mabango ya Manispaa ya Kinondoni yamegusa mfupa wa mtu.Ukiona CCM inalalama ujue kuna mahali pameguswa
NUNUA GAZETI UTAONA WACHA KUJIFUNGIA HAPO LUMUMBA KAMA NJIWA MWENYE MAYAIHawatakaa wakuambie wao wanasema tu ili wajulikane wanajua kupinga
Tusaidiane kuweka wazi hawa watu. Ni Mani huyo wa mabango?
Ndio maana wakishachafuka wanahamia chadema ili tuwasafishe...inabidi tujifunze tusirudie hili kosa.Vigogo wote wa ccm wanakashfa ya ufisadi,
Kijana vipi?...rudia kusoma ulichoandika ukigundua kosa lako unyumbu utakutoka na utaepuka kuliwa na mamba mto mara.Tatizo lakufungiwa kwenye chupa hapo Lumumba kiswahili kinaenda mrama
Fisadi wa maneno Na wewe, unaweza ukaiambia dunia ufusadi wa hao watu walohamia chadema?Ndio maana wakishachafuka wanahamia chadema ili tuwasafishe...inabidi tujifunze tusirudie hili kosa.
Ngoja tusubiri wengine wakija jinsi watakavyofutiwa dhambi zao....kama kawaida kwa sasa tuna hati miliki ya kuchafua na kusafisha...haya mambo yanaudhi sana siku hizi sijivunii tena kujitambilisha kama mimi ni upinzani sababu upinzani unamilikiwa na CCM.Fisadi wa maneno Na wewe, unaweza ukaiambia dunia ufusadi wa hao watu walohamia chadema?
HahaGazeti lenyewe tanzania daima kazeti la majuha na wathirika wa ukabila.
Gazeti lenyewe tanzania daima kazeti la majuha na wathirika wa ukabila.