Kigezo cha dini kinaninyima mwanamke

Thanks!

Huu ndiyo uchawi mbaya sana wazungu na waarabu walitufundisha na kujikuta tunabaguana sisi wenyewe Mkuu.
Indeed, Lakini tusilaumu wengine kbs !!! Mkuu hulka ya ubaguzi ipo ndani ya kila kiumbe !!
UBAGUZI haunaga MTU/KABILA/TAIFA nk... (hiyo ni topi ingine kbs)

Mkuu wewe na yeye mfanye COMPROMISES.. yaani shusheni mambo kadha katika kiwango cha 50% !!!
 
True.

Dini sio kigezo cha kutenganisha wanadamu katika makundi.
Hakika Mkuu.

Sema ni wachache wanaweza kupambana na huu uchawahi wa wazungu na waarabu!
 
Kumpata mwezi mlio na imani moja n nzuri kwa faida yenu na familia mtakayoianzisha
 
Mkuu we mwenyewe unaendekeza kigezo cha dini ndo mana hutaki kubadili
 
Indeed, Lakini tusilaumu wengine kbs !!! Mkuu hulka ya ubaguzi ipo ndani ya kila kiumbe !!
UBAGUZI haunaga MTU/KABILA/TAIFA nk... (hiyo ni topi ingine kbs)

Mkuu wewe na yeye mfanye COMPROMISES.. yaani shusheni mambo kadha katika kiwango cha 50% !!!
Umenena vizuri sana Mkuu.

Nitaufanyia kazi ushauri wako!
 
Mkuu we mwenyewe unaendekeza kigezo cha dini ndo mana hutaki kubadili
Ila inapendeza sana mwanamke akimfuata mwanaume Mkuu.

Au wewe unalionaje hilo?
 
Siku hizi ukiogopa kila kitu duniani umekwisha,
Nikiwa na maana ya kwamba muoe huyo binti, muwe mke na mume,
Wala asiogope kuwa ndugu na wazazi watamtenga apotezee tu Kama watamtenga poa kama wasipomtenga sawa tu,
Koz hakuna mzazi anayekataa mwanaye au kumtenga hiyo ni mikwara tu,
Oa kama hawataki pigs mimba Lea,
Acha kupigwa biti/ mkwara wewe motto wa kiume,
Never afraid anything in this world.
Koz kila nafsi itaonja mauti, unachoogopa wewe ni nini?
 
Wazungu walizileta hizi dini ili iwe hivyo.....watu watengane,wasifanye mambo ya maana....wao mbona kwao hatusikii kama haya!
 
Dini ni kitu complicated sasa kama msipoweka misingi thabiti wakati mnaanza mahusiano yenu
 
Hahahah

Poa Mkuu.

Uoga wako ndiyo umasikini wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…