Hapa kuna mkristo na muislamu mkuu.Kuna sababu zingine uwa naona za kipuuzi sana, ktk kigezo cha dini hapo ugumu uja either Kati yenu mmoja mwislamu na mwingine mkristo, Lakini eti mnaachana kwa kigezo cha dini ikiwa wote wakristo hii aingii akilini.
Eti KKKT na TAG mfano lakini Mmmh mtakuwa amko serious.
Mkuu, elewa hii.. "What goes around,comes around" ukiwa na nia mbaya/ovu ya kumtendea ili ufanikishwa matakwa yako..., basi ni mater of time tu.. nawe utatendewa vilivyo..!!Ni sahihi kumkataa mwanaume au mwanamke kisa dini ni tofauti?
Ni kwamba kuna binti nampenda sana na namhitaji awe mke wangu. Ila ugumu unakuja pale tu kwenye kigezo cha dini.
Nimejaribu kumshawishi kuwa katika maisha ya mahusiano kitu cha msingi ni upendo wa dhati suala la dini ni nyongeza tu maana unaweza kumkataa mwenye upendo wa kweli na nia ukaolewa na mtu kisa tu mnatoka dini moja mwisho wa siku ukaishia kujuta maisha yako yote.
Ingawa yeye kwa upande wake anasema ananipenda tatizo lipo kwa wazazi na ndugu zake eti watamtenga.Kiukweli nashindwa nifanyeje kuhusu hilo suala.
Je niachane nae au niendelee kukomaaa nae vivyo hivyo huenda atabadilika au nimpige mimba ili iwe rahisi kumuoa.
Karibu kwa ushauri wenu wakuu.
Kwan we waogopa nn mpaka usibadili? Kama ww huwezi badili basi na yy hawezi badili, ikiwa hivyo tafuta wa dini yako, mapenz sio kovuKubadilisha tena?
Bora angebadilisha yeye Mkuu ingawa.
Thanks Mkuu!Pole sana mkuu.
Ila naona dini kuzuia ndoa ni ujinga na ubaguzi.
Ni vyema kuruhusu ndoa hata kama mmoja sio wa imani hiyo. Hizi dini zinakuwa kama mitandao ya simu. Kupiga mitandao mingine ni gharama lakini kupiga mitandao sawa ni nafuu.
Ni kufanya matangazo na kutaka kuongeza waumini kijanja. Mtu hawezi kubadili dini kisa ndoa, ni kutotambua maana ya dini ni nini. Ni malengo ya mtu binafsi na kama anaona hakubaliani nayo ana haki ya kutoifuata.
Waafrika wengi wanaishi kuamini ndoa za kidini na kusahau ndoa ni maamuzi ya wawili na sio taasisi ya kidini.
Na makubaliano ya wawili.
Thanks Mkuu!
Hiki kigezo cha dini huwa nakichukia sana na huyu namvumilia tu kwa sababu anasema anapenda iwe hivyo sema tu wazazi.
Kiukweli ninaposikia mtu anaweka dini mbele katika masuala ya kuoana huwa namdharau sana kwa sababu ni kuendekeza ubaguzi tu usio na tija yoyote.
Well said Mkuu!Mkuu, elewa hii.. "What goes around,comes around" ukiwa na nia mbaya/ovu ya kumtendea ili ufanikishwa matakwa yako..., basi ni mater of time tu.. nawe utatendewa vilivyo..!!
Sasa ktk utata wa dini.. Yapaswa uwe mtulivu na mwangalifu kwa mwenza mtarajiwa!! chukuweni time wote mutafakari...
FYI, dini ni moja na Mungu ni mmoja.. ila imani zetu ni tofauti "nasema kuwa imani zetu sikamili ndo maana tunakorofisha uhusiano"
Nawatakia kheri..
Mimi nimezaliwa nikakuta wazazi ni wakristo mkuu.Kwan we waogopa nn mpaka usibadili? Kama ww huwezi badili basi na yy hawezi badili, ikiwa hivyo tafuta wa dini yako, mapenz sio kovu
Ahsante MkuuMkuu dini ni kigezo muhimu sana,ni vema ukaoa mtu wa imani yako kwa maana ndoa zina mambo mengi sana. Wakati mwingine mtahitaji msaada kutoka kwa kiongozi wa dini yenu, sasa kama mtakuwa na dini tofauti inakua ngumu. Pili, ndoa ni jambo la kiroho na ndoa ya kwanza ilianzia pale bustani ya edeni (katika imani ya kikristo )hivyo ni muhimu kuzingatia vigazo.