Ahsante Mkuu.The same to me! But tuliona dawa ni abebe mimba kwanza, akajifungua! Ikawa tumeshawamaliza nguvu!
NB:Njia hii ni hatari sana kama hujajipanga au kama bado mtoto wa mama!!
*Utamuacha baba, utamuacha mama.........!!
Basi usilalamike.....Kubadilisha tena?
Bora angebadilisha yeye Mkuu ingawa.
Hicho kitu kinasumbua sana Mkuu.Kuolewa siku hizi ni kama ajira, unataka kumpa na kuwapunguzia wazazi wake mzigo wa kulea na kumlinda na wanaume wachovyaji wasiotaka kuoa unawekewa vigezo!! Oa yeyote wa imani yako, siku huyo binti atakapopigwa mimba watakukumbuka.
kwema mkuu ... ile we unamajanga umeibiwa demu , umepeta mwingine dini haziendani aisee wewe pole sanaHahahahah
Haya Mkuu!
Kwema lakini?
[emoji23] [emoji23]kwema mkuu ... ile we unamajanga umeibiwa demu , umepeta mwingine dini haziendani aisee wewe pole sana
kweli mkuu[emoji23] [emoji23]
Nouma sana Mkuu
Inabidi niende kwa babu kijijini akafanye mambo huenda gundu nalo linachangia.
Maana unaweza kuwa na gundu ila hautambui.