Kigamboni sea bridge news.

Sunman

Member
Oct 13, 2011
32
3
Habari wadau wa Jf nauliz kama kuna mweny taharifa/habar kama wameanz kutoa temporary job kwa vijan wa Tz ujenz wa daraja Kigamboni? hope nitapata ushirikiano.
 
wameanza kutoa ajira pale kigamboni! nenda ferry kuna mtu anaandikisha majina
 
Nenda karibu na tukio onana na wahusika natumai watakupokea na kukufahamisha mpango mzima ukoje.
JF wengine mikoani lakini watakujibu pumba.
JF wengine vyuoni nao watakujibu ovyo,
JF wengine wazee wa boksi hao wakitoka mzigoni uchovu wote utaishia kwako,
Lakini wengine hta kuchangia awachangii kama ana cha kuchangia
Na wachache watakujibu kiungwana
 
Na hiyo ndio picha kamili ya jamii yetu, haujakosea kitu, na ndio maana mabadiliko au maendeleo yatachukua kama vizazi (Generations) nne (4) zijazo, kila kitu mzaa na utani, kuanzia mfagizi mpaka Mwalimu wa Chuo Kikuu, ila kwa kulalamika ni namba 1, na kila siku utasikia wanamlalamikia Bw. Kikwete hafanyi kitu utafikiri Bw. Kikwete hajazaliwa na kukulia Tanzania kwenye hii jamii!

Umeona eeeh Kijakazi mimi nashindwa kujua tatizo letu ni nini?mda mwengine natamani neno baya#######watu dizaini hii
 
Nenda karibu na tukio onana na wahusika natumai watakupokea na kukufahamisha mpango mzima ukoje.
JF wengine mikoani lakini watakujibu pumba.
JF wengine vyuoni nao watakujibu ovyo,
JF wengine wazee wa boksi hao wakitoka mzigoni uchovu wote utaishia kwako,
Lakini wengine hta kuchangia awachangii kama ana cha kuchangia
Na wachache watakujibu kiungwana

thnx kwa ushauri wako hii deal pia utumish wanahusika nayo
 
Na hiyo ndio picha kamili ya jamii yetu, haujakosea kitu, na ndio maana mabadiliko au maendeleo yatachukua kama vizazi (Generations) nne (4) zijazo, kila kitu mzaa na utani, kuanzia mfagizi mpaka Mwalimu wa Chuo Kikuu, ila kwa kulalamika ni namba 1, na kila siku utasikia wanamlalamikia Bw. Kikwete hafanyi kitu utafikiri Bw. Kikwete hajazaliwa na kukulia Tanzania kwenye hii jamii!

bora useme wewe mkuu maana,,
 
Back
Top Bottom