Hayo ni madoido ili tusahau ufisad na gharama walizotoa nssf
@Nairobery na Geza UloleSalamu kwa majirani zetu wote wa East Africa hususani wakenya chini ya uongozi wa MK254 ,tunawakaribisha kuja kupiga selfie katika daraja letu.
Wakenya wameshaanza kuitangaza kama ya kwao.
Haina shida,acha tu watusaidie kulutangaza hilo daraja so long as geographical coordinate za google map na google earth zinaonyesha lipo dar es salaam tanzania.hawamdanganyi mtu zama hizi.Wakenya wameshaanza kuitangaza kama ya kwao.
Kama hamna lakuandika muwe mnapita wimaHayo ni madoido ili tusahau ufisad na gharama walizotoa nssf
Mwenyewe nimona mpaka nikajichekeaWakenya wameshaanza kuitangaza kama ya kwao.
Naona nikama wanazidi kujidharilisha wenyeweHaina shida,acha tu watusaidie kulutangaza hilo daraja so long as geographical coordinate za google map na google earth zinaonyesha lipo dar es salaam tanzania.hawamdanganyi mtu zama hizi.
walifanikiwa kuwandanya wazungu miaka ya nyuma kuhusu location ya mlima Kilimanjaro,sasa hivi hawawezi tena.
Ni dalili ya kukubali kuwa TZ sasa inakimbia na hawatowahi kuikaribia tena.Mwenyewe nimona mpaka nikajichekea
Tunapo waita wakenya ni nyumbu waliotukuka huwa hutuwaiti kwa kuwaonea,tunazo sababu za msingi.Naona nikama wanazidi kujidharilisha wenyewe
Hayo ni madoido ili tusahau ufisad na gharama walizotoa nssf
sio kila thread ni ya kulazimisha kupigia porojo zenu za kisiasa.hata kama mngepita tu kimya kimya,bado tungetambua uwepo wenu hapa JF.usiku linaonekana kama nyumba au godown.
Ooh mamaa ooh mama
Mwekezaji no. 1 TZ Ni Kenya ikifuatiwa na afrika kusini. Kenya wana kampuni nyingi kubwa hapa TZ yakiwemo mabenki kadhaaNi dalili ya kukubali kuwa TZ sasa inakimbia na hawatowahi kuikaribia tena.
Waende na chai au chai ipo hapohapo?Nendeni mkate vyuma basi muuze scraps, si ndivyo tulivyozoea