Kigali Mbali . . . Kigali Mbaaali Tukumbukane . . .

Kigali Mbali . . . Kigali Mbaaali Tukumbukane . . .

mmmh kwakweli picha inajieleza yenyewe tu,duh kuna mkaka pale with a very innocent smile,he looks very humble,gentleman kwakweli itabidi niende,tena very soon!
 
mmmh kwakweli picha inajieleza yenyewe tu,duh kuna mkaka pale with a very innocent smile,he looks very humble,gentleman kwakweli itabidi niende,tena very soon!

Mkaka yupi tena jamani?
 
asante kwa picha superman hata tukipishana njiani nitakufahamu kama member mwenzangu JF
 
asante kwa picha superman hata tukipishana njiani nitakufahamu kama member mwenzangu JF

FL1 karibu sana.

Hata hivyo sijajua utanifahamu vipi tukipishana njiani. Au kwa kuwa nimesema kila unayepishana naye ni mzuri?
 
kwa hao wadada sorry superman hawatufikii wadada wakiTanzania,yaani hakuna hata dada mmoja hapo anayenifikia hata robo ila hao wakaka ni wazuri kuwashinda nyie wanaume wetu wa Tanzania..lol..tena nahisi sio mainfii kama nyie!
yaani kuna mkaka mmoja hapo basi tu acha nisiseme mengi coz ntazidi kujipa mateso!
 
Mkuu Superman uliongea lugha gani kule?
 
kwa hao wadada sorry superman hawatufikii wadada wakitanzania,yaani hakuna hata dada mmoja hapo anayenifikia hata robo ila hao wakaka ni wazuri kuwashinda nyie wanaume wetu wa tanzania..lol..tena nahisi sio mainfii kama nyie!
Yaani kuna mkaka mmoja hapo basi tu acha nisiseme mengi coz ntazidi kujipa mateso!


:a s 109:
 
thanks superman kwa kutupa dondoo za huko unakotembelea , hakika kuna mengi ya kujifunza kutoka kwa majirani zetu. kujifunza siyo lazima iwe ulaya au marekani, just you cross the border and learn something. good job SM
 
Mkuu Superman uliongea lugha gani kule?

Mkuu, wana lugha nne kule:

Kinyarwanda
Kifaransa
Kiingereza na
Kiswahili.

Wanatumia Kinyarwanda sana.

Ila kwa sasa officila llanguage wameamua kutumia Kiingerza na Kiswahili kwa ya EAC na kukitosa Kifaransa.
 
Samahani SM, nauli ya kwenda huko kwa ndege ni bei gani? na hotel ni kama bei gani hivi kwa mtu wa kawaida tu kama mimi mwajiriwa wa mabepari wa kibongo. Nitaka nijaribu kusevu ili nikatalii huko. Na nikifika huko ni maeneo gani ambayo unashauri angalau niyatembelee. Ni hayo tu mkuu
 
ugonjwa wangu huo. watoto wa kinyarwanda, kihabesh, pale ethiopia dah wananikuna mnooooooo
 
Kwa kweli mabnti wao ni wazuri wa maumbo ila kumuweka ndani...nina wasiwasi! nilisoma nao baadhi chuo...so, from experience: Kwa kuonyesha kwa marafiki zako una demu mkali, sawa! Ila kama unafikiria ndoa..mtazamo wangu ni; wana very un realistic ideas of life, immature na hawana sifa za mke. Yani unapata binti miaka 23 hajui kupika na wala haimghasi usingizi.
wakati mwingine, tulikuwa tunawaalika like for lunch...utapika wewe, utaosha vyombo wewe..wao busy wakiona movie au muziki! aah..nilichoka nao!
Lakini pia, mademu wetu ni bomba zaidi jamani..maana wako fully equipped, si maumbo tu bali hata tabia (na si fake)...
Ni mtazamo tu!
 
Let us have a quick look:

4359128210_4a30dec568.jpg
 
Back
Top Bottom