Wanyarwanda wamejaa hadi local govt siku hizi, wengine wafamasia, wengine wauguzi ili mradi tu nchi hii sijui nani ana uchungu nayo!!!
Bingwa la ujasusi kanda ya ziwa,linafanya operesheni zake kutokea shule moja ya secondari mwanzaDeo Kisandu ni nani? sina undugu
View attachment 505119 View attachment 505119 View attachment 505119
View attachment 505120
angalieni hizi picha ambazo jasusi wetu yeriko anadai eti zimepigwa na spy agent wa rwanda!
wampe urais huyo dada,kwa kuwa sasa wanamfahamu vizuri,kilichonifurahisha ana maka 35 na bado matiti yana hali nzuriDuuh....inasikitisha sana
Ahahah umenichekesha mkuu,Huyu naye akanyoa mivuzii kwanza ndo agombee urais..khaaa mivuzi mingi sana bwana
unawakilisha raia wa rwandaMwanzo nilidhani Rwigara labda kanyweshwa madawa ya kulevya halafu kapigwa picha akiwa hajitambui, kumbe mtu mwenyewe hakuna aliye mlazimisha anaonekana yuko sober kabisa na akili zake timamu - sasa starehe zake mwenyewe mnaziusishaje na utawala wa Paul? Huyo binti hana maadili hata kidogo kisaikolojia anaonekana ni rahisi kununulika/shawishika, Raia wa Rwanda hawawezi kumchangua binadamu ambaye hana maadili mema - tusimsingizie Paul..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]wewe yeriko karibia unapagawa kama deo kisandu, sasa lengo la huu uzi ni kuelezea picha za huyo dada, ujasusi wa kigali au uzoefu wako wa spy camera?
Mwanzo nilidhani Rwigara labda kanyweshwa madawa ya kulevya halafu kapigwa picha akiwa hajitambui, kumbe mtu mwenyewe hakuna aliye mlazimisha anaonekana yuko sober kabisa na akili zake timamu - sasa starehe zake mwenyewe mnaziusishaje na utawala wa Paul? Huyo binti hana maadili hata kidogo kisaikolojia anaonekana ni rahisi kununulika/shawishika, Raia wa Rwanda hawawezi kumchangua binadamu ambaye hana maadili mema - tusimsingizie Paul..