Kingsmann
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 5,768
- 21,871
Rwanda imeanza ujenzi wa Kigali Innovation City (KIC), mradi wa TZS 4.6 trilioni unaolenga kupata eneo la uvumbuzi wa teknolojia Afrika sawa na lile la Silicon Valley, Marekani.
Eneo hili la hekta 70 litakuwa na matawi ya vyuo vikuu mashuhuri duniani pamoja na makampuni makubwa ya teknolojia.
Eneo hili la hekta 70 litakuwa na matawi ya vyuo vikuu mashuhuri duniani pamoja na makampuni makubwa ya teknolojia.