mwamgogwaferdinand
JF-Expert Member
- Jun 28, 2017
- 697
- 938
Mimi huwa nawashanga sana Mara ni mji msafi Africa Mara nini Kigali sijui nini kunamiji misafi Kigali haigusi # Windhoek Namibia bara gaborone gabs Botswana hatari.Kabisa kaka ni mji wa hovyo sana km 50 upo border ya Uganda km 200 uko Congo yani siku 1 namaliza Boda zote na gari ndogo ni nchi ya kusadikika ukija huku utajiuliza hiyo nchi ipo wapi?
hivi Paulo WA Kigali Nate ana siasa za kushamba za kununua wapinzani!??Nasikia tu watu wanaisifia kwa sifa nyingi.ni zipi hizo ebu nijuzeni na Mimi nijue
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila mji wao wa Kigali ingawa ni mdogo mzuri na msafiMji wa kawaida tuu ukitoka mjini kilomita nne unakutanyumba zaajabu sana watu wananjaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
HIvi hii Habari ya godoro kuwekwa Torobai au plastic cover ni kweli au utani? Maana kila mtu aliyekwenda Rwanda anasema . Ningependa na angalau kapicha nipatie udhibitishoHakuna nchi ya kijinga kama Rwanda nchi ambayo ukimsema vibaya Kagame kesho unauawa.nchi ambayo ukionekana unakula Mara 3 wanajua wewe ni mgeni nchi ambayo mchana tunakula kivuguto ndio Lunch Nchi ambayo ndizi tunauziwa kwa kupima ktk kilo kitu cha maana huku Rwanda ni wanawake zao kuwa na maji tu ( Natural water ) tak*o mbili tu atamwaga maji mtakosa pa kulala.
Rwanda ni nchi ambayo Hotel na Guest house zote zina maturubai ili wanaomwagana maji wasiharibu magodoro
Nikweli mkuu Godoro zimewekwa plastic cover kama godoro za hospital naukiopoa manz mkifika ndani mkitaka kuanza shoo kama umesaula umebaki na cnglend anakusihi uitoe coz italoaHIvi hii Habari ya godoro kuwekwa Torobai au plastic cover ni kweli au utani? Maana kila mtu aliyekwenda Rwanda anasema . Ningependa na angalau kapicha nipatie udhibitisho
Rwanda ipi hiyo Hiii hii ninayoifahamu tangu 1997?Rwanda parisi of africa njoo siku moja utembee uku utaleta mrejesho janvini.
Hata tanga na mtwara vibaya sijawahi kuwaona wala kusikia mtu kabisaKigali haina wezi na wakwapuaji kwa kweli Kigali ni mji mtamu sana.
Mimi nimeishi Mtwara Tanga na Kigali kwa hiyo ninachokwambia ni kweli sasa kama unataka kuleta Ligi huu sio wakati wake tukutane Mgitondo...urumva?!!Hata tanga na mtwara vibaya sijawahi kuwaona wala kusikia mtu kabisa
Ukiona mji hauna matukio bado ni mji wakishamba miji mikubwa Lazima Iwe mishemishe nenda lagosi,Nairobi, cape town
Mimi nikihesabu mifuko mipya inayoingia nyumbani kwangu si chini ya 6 daily,sasa nchi nzima sijui tunazalisha mamilioni mangapi ya mifuko.Ile mifuko inakera sana, sisi tunaangalia zaidi kodi kuliko mazingira.
Hahah 100% ukweli mtupu huu.Ni ujinga wao wakati wenzetu wanaendelea sisi wengine wanawaza wamuweke nani ndani na biashara gani ife
Huwa nashangaa sana hao waliopewa majukumu
Ndio maana Rais amelizungumzia hilo kuwa hizo ofisi sio zao
Unamkuta mtu ukimsalimia kakunja uso utaikiri mligombana
Na wengine wanaweza kukuambia ofisi yetu haihusiki maana kuna wengine hawajui hata ofisi yake inahusika na nini
Pole mkuu maana tunajifanya wajanja wakati ni tunapoteza mapato na kuzidi kurudi nyuma siku hadi siku
Sent from my SM using Tapatalk
Turi Kumwe .........Chigari yetu...turi kumwe.
Inakera sanaHahah 100% ukweli mtupu huu.
Mkuu kuna ofisi za serikali ukienda unaanza kuwaza sijui ntawakuta wafanyakazi wana mood gani pale ofisini kwao.
Ni kweli mkuu wanawake wa huku ukimchezea tu KISIMU anafungulia koki maji anayamwaga kama dawasco ila ni Ka style ukikazoea katamuHIvi hii Habari ya godoro kuwekwa Torobai au plastic cover ni kweli au utani? Maana kila mtu aliyekwenda Rwanda anasema . Ningependa na angalau kapicha nipatie udhibitisho
Kwa utafiti wako nini inasababisha hiyo Hali kwa wanawake wa Rwanda mpaka kusifiwa sana kwa Hako Katabia?Ni kweli mkuu wanawake wa huku ukimchezea tu KISIMU anafungulia koki maji anayamwaga kama dawasco ila ni Ka style ukikazoea katamu