Mr Putin JF-Expert Member Joined Feb 13, 2019 Posts 517 Reaction score 524 Aug 11, 2019 Thread starter #21 BRO SANTANA said: Tuache wivu hako ka stadium kamenoga utazani kapo pale los angels kwa trump. Click to expand... 👍
BRO SANTANA said: Tuache wivu hako ka stadium kamenoga utazani kapo pale los angels kwa trump. Click to expand... 👍
Ndahani Platinum Member Joined Jun 3, 2008 Posts 18,162 Reaction score 9,192 Aug 11, 2019 #22 Maendeleo yana gharama kubwa sana. Na kuyalinda pia ni gharama. Tusisahau kuendelea mbele hata baada ya kufika tuilikofika
Maendeleo yana gharama kubwa sana. Na kuyalinda pia ni gharama. Tusisahau kuendelea mbele hata baada ya kufika tuilikofika
ChoiceVariable JF-Expert Member Joined May 23, 2017 Posts 83,843 Reaction score 90,353 Aug 11, 2019 #23 Karne said: Ingekuwa bongo wale wapumbavu tayari wangeshaleta yale mambo yao ya,"Bibi yangu kule kijijini atanufaikaje?." Safi. Click to expand... Wazee wa tunatekeleza sikuhizi hawatuonyeshi maendeleo ya uwanja wa mfalme wa Morocco au hautekelezeki
Karne said: Ingekuwa bongo wale wapumbavu tayari wangeshaleta yale mambo yao ya,"Bibi yangu kule kijijini atanufaikaje?." Safi. Click to expand... Wazee wa tunatekeleza sikuhizi hawatuonyeshi maendeleo ya uwanja wa mfalme wa Morocco au hautekelezeki