Wont be the same
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,564
- 2,483
Naibu katibu mkuu wa CHAUMMA Benson Kigaila amefafanua wanaohoji kuhusu ukubwa wa mkutano wa kuwakaribisha wanachama wapya wa CHAUMMA ambao umefanyika kwa ukubwa na wadau wengi wamepata wasiwasi chama hicho kimepata wapi fedha hizo. Kigaila anasema wadau waliokuwa wamewaamini wakiwa CHADEMA ndio waliowasaidia wakiwa CHAUMMA.
View attachment 3341824
Pia soma Pre GE2025 - ARU - CCM Arusha yapinga madai ya kuifadhili CHAUMMA
Yaani Kiga, Mrema, na G55 ni kielelezo cha wanasiasa MatapeliSura za kitapeli kabisa.
Hako kazee kigaila kanazeeka vibaya yaani kanawaona watanzania ni wajinga kama yeye?Naibu katibu mkuu wa CHAUMMA Benson Kigaila amefafanua wanaohoji kuhusu ukubwa wa mkutano wa kuwakaribisha wanachama wapya wa CHAUMMA ambao umefanyika kwa ukubwa na wadau wengi wamepata wasiwasi chama hicho kimepata wapi fedha hizo. Kigaila anasema wadau waliokuwa wamewaamini wakiwa CHADEMA ndio waliowasaidia wakiwa CHAUMMA.
View attachment 3341824
Pia soma Pre GE2025 - ARU - CCM Arusha yapinga madai ya kuifadhili CHAUMMA
Chaumaccm ni mali ya ccm kwani kipo uvunguni mwa ccmSIyo wadau bali mdau. CCM ndiye mdau mkuu wa CHAUMMA, ambaye kwa kweli hastahili kuitwa mdai, anatakiwa kuitwa mmiliki mkuu wa CHAUMMA.
Hao ni wezi majambazi ya SiasaYaani Kiga, Mrema, na G55 ni kielelezo cha wanasiasa Matapeli
Chaumaccm ni chama haramu cha kishetani kwani pesa za kuwakusanya na kuwanunua ni pesa za walipa kodiWadau wao ni CCM.
CHAUMA ni miongoni mwa vile Vyama Mamluki
Sera ya ccm ni kuifuatilia chadema kuudhofisha kutumia mabilioni ya pesa za walipa kodi kuihujumu chadema kuwabambikia kesi za uongo kuwateka kuwapiga, ccm ya sasa inajiendesha kwa njia haramu za kishetaniSera ya Chadema ni kufuatilia vyama vingine. CCM tuliwaelewa ni chama dola mnahaki ya kukipigia kelele.
Zito alipohama mlimfuata ACT.
Lipumba mkasema amewasaliti Zanzibar mkamtukana matusi.
CHAUMA nacho mpo nyuma yake.
Kigaila muogope Mungu wako. Ujue huko kuna watu ndugu zetu, wanasema kinachoendeleaNaibu katibu mkuu wa CHAUMMA Benson Kigaila amefafanua wanaohoji kuhusu ukubwa wa mkutano wa kuwakaribisha wanachama wapya wa CHAUMMA ambao umefanyika kwa ukubwa na wadau wengi wamepata wasiwasi chama hicho kimepata wapi fedha hizo. Kigaila anasema wadau waliokuwa wamewaamini wakiwa CHADEMA ndio waliowasaidia wakiwa CHAUMMA.
View attachment 3341824
Pia soma Pre GE2025 - ARU - CCM Arusha yapinga madai ya kuifadhili CHAUMMA
Kwa hiyo unakubali wote sawa!Sera ya ccm ni kuifuatilia chadema kuudhofisha kutumia mabilioni ya pesa za walipa kodi kuihujumu chadema kuwabambikia kesi za uongo kuwateka kuwapiga, ccm ya sasa inajiendesha kwa njia haramu za kishetani
Wapi chedema wamefuatilia chauma? Weka uthibitishoSera ya Chadema ni kufuatilia vyama vingine. CCM tuliwaelewa ni chama dola mnahaki ya kukipigia kelele.
Zito alipohama mlimfuata ACT.
Lipumba mkasema amewasaliti Zanzibar mkamtukana matusi.
CHAUMA nacho mpo nyuma yake.
Chaumaccm sasa umetumika kutakatisha pesa imekuwa Daraja la kugawana pesa wenye mchongo wao Mbowe na makala wanavuna mabilioni kwenye mradi haramu wa kishetaniWadau wao ni CCM.
CHAUMA ni miongoni mwa vile Vyama Mamluki