Miaka ya nyuma dada ambaye sasa ni mtu mzima alikuwa anasoma Loleza Sekondari Mbeya; alinisimulia jinsi mchezo wa wanawake kuchezeana ulikuwepo. Akasema msichana mwenzako unamwona ndiyo mwanaume wako.
Shule za Jinsia Moja hazitakiwi kabisa kuwepo zinachochea sana ushoga na usagaji.
Kwa kuwa watu wanakutana wao mara kwa kwa kila siku, na ni rahisi kujaribu mchezo huo kuanza kama mzaha, hasa wanawake.
Kwa ulimwengu huu wa mwingiliano mwingi wa elimu si vizuri kuruhusu mazingira ambayo yanachochea tabia hizi.
Mchingaji mmoja alisimulia jinsi binti alivyomchukia wazazi wake kumpeleka Shule ya bweni maana huko ndiko alikojifunza. Na wakati huu alikuwa anakataa kuolewa.
Ombi ni kwamba shule hata ni za bweni ziwe mchananyiko, huenda kukawa na aibu kidogo ya kujihusisha kwenye mchezo..
Napendekeza zijengwe shule za mchanganyiko.
Mfano kama ni kwa ajili ya wasichana kuwepo na idadi ndogo ya wavulana; na vile vile ikiwa ni ya wavulana kuwepo na idadi ndogo ya wasichana