Kifurushi Kipya cha Internet - OMG Bundle

Kifurushi Kipya cha Internet - OMG Bundle

God knows

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2011
Posts
276
Reaction score
173
Airtel waja na kifurushi kipya cha internet. Kinaitwa OMg Bundle. Gharama zake ziko chini na kiasi cha data wanachokupa ni cha kuridhisha kama ilivyo hapo chini:

OMG - Bundle!!.PNG

Sijajua kam speed imepanda, kwa sababu wiki kama mbili zilizopita, kulikuwa na extreme drop ya internet speed upande wa airtel.
 
Wamewapiku Tigo tayari hapo kwa 41GB/20,000/=
nimevijaribu viko poa hamna kubana speed mpaka GB ziishe
 
umejaribu speed ikoje mkuu?
halafu kama nikijiunga na bundle ya data pekee yake na kama nilinunua kifurushi kingine cha mwezi chenye airtym nakadhalika, si kinaweza kukatwa kama nikinunua bundle ya data pekee?

Airtel waja na kifurushi kipya cha internet. Kinaitwa OMg Bundle. Gharama zake ziko chini na kiasi cha data wanachokupa ni cha kuridhisha kama ilivyo hapo chini:

View attachment 184731

Sijajua kam speed imepanda, kwa sababu wiki kama mbili zilizopita, kulikuwa na extreme drop ya internet speed upande wa airtel.
 
Wakuu unakipataje hicho kifurushi cha OMG? Nimekwenda *149*99# na *154*44# kote sijaona. Unakipataje hicho kifurushi?
 
Kwa nn line zao za airtel cku hizi hazisomi kwny modem tatizo nn??

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Hili swal la speed nafikiri pia linategemeana na mazingira uliyopo.
 
Nadhani Airtel pia wana coockie ambayo inasababisha gps kuwa always on kwenye android phones
Manake kila nikiweka data on ,kama natumia line ya airtel, bas gps inajiweka on
 
Hiki kifurushi bomba sana hata kwenye simu.Kwakweli Airtel YATOSHA!
 
Back
Top Bottom