Kifurushi gani unatumia kwenye simu?

Kifurushi gani unatumia kwenye simu?

Halotel mega bando

elfu 1 gb1 kwa wiki

elfu 3 gb3 kwa wiki

voda
Tanga uni ofa

1gb@1500 kwa wiki(dk150 voda+15mitandao yote

1gb@1000 kwa siku 3


Mitandao yote hyo ina kasi nzuri kwa sehemu niliyopo
 
Namba 5
 

Attachments

  • Screenshot_20201123-110425_Phone.jpg
    Screenshot_20201123-110425_Phone.jpg
    65.3 KB · Views: 5
Kifurushi changu cha internet ni smartika Airtel.
Napata gb 16 kwa mwezi kwa sh elfu kumi. Huku upande wa dakika najiunga kifurushi cha mwezi dakika 3450 kwa mwezi mzima kwa sh elfu kumi pia.
 
Halotel mega bando

elfu 1 gb1 kwa wiki

elfu 3 gb3 kwa wiki

voda
Tanga uni ofa

1gb@1500 kwa wiki(dk150 voda+15mitandao yote

1gb@1000 kwa siku 3


Mitandao yote hyo ina kasi nzuri kwa sehemu niliyopo
Ivi kwanini Voda Moro super Uni ni 2000tsh GB 1 kwa wiki lakini mikoa mwingine Kama tanga, Pwani, DSM ni 1500tsh kwa wiki.
 
Heshima kwako, nimefikia hatua ya kuandika hapa ili kupata unafuu wa vifurushi vya internet baada ya Voda kunibadilikia siku kadhaa baada ya uchaguzi sasa wananifyeka MB kwa kasi ya ajabu, wenye kutumia mitandao mingne vipi huko kwenu?

Halotel Royal Bundles pia zikoje?

Msaada tafadhali.
Hahahahah naona wameanza kufidia hasara ya 5.09 Billion walioripoti 2019/2020
 
Halotel akianza kuwapiga sijui mtakimbilia wapi😂😂😂😂
 
Mtandao: Zantel

Bundle: Bao bila kikomo

Data Bandwidth: 1GB 1000 tshs, Unlimited mikoani (3 days kwa Dar)

Dakika: 45 Mitandao yote 1000 tshs, Unlimited mikoani (3 days kwa Dar)

Ufanisi: Speed nzuri 4G, Data inadumu i get through 3 days on heavy usage Youtube,Instagram,JF Combined!

Thanks to online payment systems vocha inapatikana on real time. Hii ni kwa wale mnaowaza vocha inapatikanaje.
 
Back
Top Bottom