Kifurushi gani unatumia kwenye simu?

josephwaara

JF-Expert Member
Jun 18, 2016
304
637
Heshima kwako, nimefikia hatua ya kuandika hapa ili kupata unafuu wa vifurushi vya internet baada ya Voda kunibadilikia siku kadhaa baada ya uchaguzi sasa wananifyeka MB kwa kasi ya ajabu, wenye kutumia mitandao mingne vipi huko kwenu?

Halotel Royal Bundles pia zikoje?

Msaada tafadhali.
 
Hizi ndio bando zangu. Sijambo kabisa View attachment 1632301




View attachment 1632302




Screenshot_20201122-171331_Phone.jpg
 
Hvi sas hvi tupo kwenye 4g maMB Yanakwisha namna hii sasa tukihamia huko kwnye 5G si ndo tutafilisika kabisa
 
Hvi ni kweli VPN ina bana matumizi na kama ni kweli hebu mwenye kujua atuwekee hapa hayo maelezo
 
Kuna jamaa aliniambia kuna huduma tigo unapesa gb 48 za mwaka mzma kwa elfu 20.

KWA maana kla mwezi ukapewa gb 4 za internet
 
Back
Top Bottom