Kifurushi cha Tigo Home Internet

Kifurushi cha Tigo Home Internet

kwanini unasema Smile ni too expensive? umeangalia viturushi vyao tangu mwaka jana katikati. Bei zimeshushwa wana bundles hadi za sh 2000 kwa siku, sio ile smile ya mwaka 2015 , GB 200 kwa milioni... . Na spidi yao bado haijawa mbaya.
This is excellent! Kudos Tigo.

Kwenye router yangu nimeweka SIM ya Voda, though expensive speed inaeleweka. Niliachana na halotel sababu ya speed.

TTCL ni non competitive, smile too expensive.

Please mitandao mingine wekeni hivi vifurushi. Siku hizi nyumba nyingi ni IT enabled. Tunahitaji constant internet connection to share across multiple devices bila woga wa kuangalia salio la MB.
 
kwanini unasema Smile ni too expensive? umeangalia viturushi vyao tangu mwaka jana katikati. Bei zimeshushwa wana bundles hadi za sh 2000 kwa siku, sio ile smile ya mwaka 2015 , GB 200 kwa milioni... . Na spidi yao bado haijawa mbaya.
Nimeangalia juzi tu bado expensive kwa unlimited na ile fair usage policy yao
 
kwanini unasema Smile ni too expensive? umeangalia viturushi vyao tangu mwaka jana katikati. Bei zimeshushwa wana bundles hadi za sh 2000 kwa siku, sio ile smile ya mwaka 2015 , GB 200 kwa milioni... . Na spidi yao bado haijawa mbaya.
Hio 2000 waliipandisha mda tu Ni 4500 kwa siku na usisahau Wana FUP, ukitumia kidogo wanadrop speed.
 
Hio 2000 waliipandisha mda tu Ni 4500 kwa siku na usisahau Wana FUP, ukitumia kidogo wanadrop speed.
Mbona Kenya hii hudumu bei poa sana halafu speed ya kutosha kwanini Tz bei kubwa na haieleweki kasi wala standard
 
Mbona Kenya hii hudumu bei poa sana halafu speed ya kutosha kwanini Tz bei kubwa na haieleweki kasi wala standard
Kwa Kasi Vodacom wapo vizuri 40 mpaka 60mbps Ni kitu Cha kawaida, hata kwa vifurushi vya mobile data tupo vizuri,

Tatizo linakuja kwenye broadband na internet za majumbani, zipo chache Sana na sifahamu kwa Nini, Niliona Mombasa Kuna wifi unlimited Hadi za chini ya 1000 ksh, ila Huku broadband za wifi Ni ghali Sana unless unaishi katikati ya jiji.
 
Sijaelewa hapo kwa nini mnasema ni usanii?
Naomba nifumbuliwe macho!

Kwa nionavyo e.g 20GB kwa 25K mchana tu kwa week ni Fair Price!
Kwanini wanagawa GBs za usiku na GBs za mchana, uli wasionekane wasanii bando inatakiwa mtu atumie muda wowote anaotaka, maana kama mtu akimaliza GBs za mchana inambidi atumie data usiku tuu
 
Sijaelewa hapo kwa nini mnasema ni usanii?
Naomba nifumbuliwe macho!

Kwa nionavyo e.g 20GB kwa 25K mchana tu kwa week ni Fair Price!
Ni fair price ndio Ila sio value for money Tena maana Kuna vifurushi vya Bei rahisi zaidi, mitandao mingi Ina vifurushi vya wiki ambavyo kwa 10k mpaka 15k unapata 10GGB kwa wiki ambacho hakina tofauti Sana na hicho, unapotoa vifurushi vya broadband vinatakiwa viwe na values kuliko vifurushi vya kawaida, ikiwa vya broadband havina value Kuna haja gani ya kujiunga?
 
BEI KIDOGO NI RAFIKI,SEMA VODACOM NAWAAELEWA KWASABAU YA SPEED YAO:NASTREAM HD KWENYE TV,NATUMIA KWENYE PC NA SIMU KWA WAKATI MMOJA --YAANI DEVICES KAMA 5 LAKINI HAIZINGUI KABISA
 
Back
Top Bottom